Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
Maneyubissaka Zahera
That can’t be the case – the Glazers are not good for United and never have been…
Hopefully one day someone will see our message and act on it. The right person or group who will also put fans first.
Kwanini mkuu hahahahahahahahahUsajili wa huyu dogo sijui ni wa kuufurahia..... Yaani bado sijajua View attachment 1139560
wenyewe wanasema raha ya ngoma uingie mwenyewe ucheze.Ole anatiatia tu huruma..nothing big to expect from him
Mimi sijaufurahia na nianaona kama hauna mana hivi,halafu wamehangaika nae kwelikweli utadhanai ni Bonge la pro!Usajili wa huyu dogo sijui ni wa kuufurahia..... Yaani bado sijajua View attachment 1139560
Uzuri wa hili dili ni kwamba, likikamilika tunaenda kusajili watu wengine wa maana..... Bruno, Center back, may be striker, may be another wingerMimi sijaufurahia na nianaona kama hauna mana hivi,halafu wamehangaika nae kwelikweli utadhanai ni Bonge la pro!
Dogo ni wa kawaida sema km kawaida media amefanya promo.Usajili wa huyu dogo sijui ni wa kuufurahia..... Yaani bado sijajua View attachment 1139560
Nyie pia mnaongea? Keita kaja kwa ngapi vile?
Felix anaenda Atletico madrid, Benfica wenyewe wame confirm 112M.Sahz Naona wanataka waingie mazima kwa Bruno Fernandes Wa sporting Lisbon. Huyo angalau ana promise pakubwa anaonekana ana great potentials. Ila huyu Bisaka cjui asee. Hivi ishu ya Joao Felix ndo iliyayukia juu kwa juu siyo!?
Pumbavu kabisa yaani Atletico wanalipa release clause sisi tunashindwa aseeJoao Felix anaenda atletico Madrid mkuu...atletico amekubali kulipa release clause euro mil 124 Benfica wamethibitisha
Sisi 10 zetu si unaziona ndugu? Bado tungemchukua ingekuwa vema tu hasa ukizingatia yule dogo akiendelezwa na kulelewa vizuri anaweza kuja kuwa magician Wa hatari na akawa na thamani za kina MbapeFelix anaenda Atletico madrid, Benfica wenyewe wame confirm 112M.
Kama Pogba anaondoka Tunamuhitaji zaidi Bruno Fernandes kuliko Felix. Fernandez ni midfield ya katikati kabisa na magoli mengi anayofunga hayo ni Free kicks na mashuti ya Mbali,
Felix yeye ni kama namba 10, anacheza nyuma ya striker ndio maana hata Atletico anakwenda kuvaa Viatu vya Griezman
Pumbavu kabisa yaani Atletico wanalipa release clause sisi tunashindwa asee
Hope mkuu unafahamu fernandez ndio mchezaji bora wa ligi ya portugal msimu uliopita (17/18) na pengine akawa bora pia msimu huu. Mara ya mwisho mchezaji bora wa portugal kuja ligi ya uingereza alikuwa ni matic.Sisi 10 zetu si unaziona ndugu? Bado tungemchukua ingekuwa vema tu hasa ukizingatia yule dogo akiendelezwa na kulelewa vizuri anaweza kuja kuwa magician Wa hatari na akawa na thamani za kina Mbape