Hivi Man U c wavunje benki wamchukue Khalidou Koulibaly? Yule CB ni kitasa cha hatari.
-Anapandisha timu,
-mzuri Wa mipira ya kona na faulo,
-mhamasishaji,
-mnyama yaani ana roho mbaya,
-anatia mguu usipotarajia,
-ana nguvu,
-anajua kujipanga na kuwasiliana vema na kipa wake,
-anaelekea miaka 28 kitu ambacho ndo yupo ktk kipindi bora kabisa kimpira
- anaongea na refa,yaani ana kila kitu cha kuwa kiongozi
Huyu jamaa namuona kama ni centre back solid kuliko yeyote kwa sasa ila tu timu aliyopo ndio inamficha.