arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,357
- 4,402
Shida ya Arteta ana karoho fulani ka huruma...huwa akishaona mkono umetimia anaanza kutoa watu...ila j2 inatakiwa aache watu mpk mwsho ili tutoe demonstration moja matata sanambona naona kama vile kono haliwatoshii
hawa wa kupigwa hara 9