Yap Valencia alipaswa kuanza, hakuna ubishi kuhusu hilo. Kuna wakati ni ngumu sana kumuelewa Jose, anamuacha Dalot nje mechi kama ya Southampton (apate uzoefu kwanza) na badala yake anakuja kumuanzisha mechi ya Gunners, mechi yenye pressure kubwa.

Kwa Lingard nipo tofauti na wewe mkuu. Man Utd game plan yao ilikuwa kucheza game yenye high tempo, kutompa adui nafasi ya kupumua (kwa dakika 15 za kwanza tulifanikiwa). Mata ni mzuri sana, lakini sio mkimbiaji, sio mtu wa ku press adui na ni mstaarabu sana hata sio mtu wa kucheza technical fouls.
Japo alifunga kagoli hakuwa na madhara mkuu ile mech ilikuwa ya mata nakwambia angalia ambavyo angetembea maana herrera alipiga mzigo sana jana tulihitaj kiungo mnyumbulifu kwa ajili ya martial na rashford

Mechi ya pili hii namuona rashford kaanza kucheza kiutu uzima.
 
Hivi Herrera hakuwa Man of the Match?

Yule dogo wampe mkataba mpya na ukapteni
 
Katika wachezaji ambao wanapaswa kuondoshwa United Valencia ni mmojawapo he has nothing to offer kwenye kushambulia & too predictable

Wachezaji kama hao wakibaki tutaendelea kulaumu makocha kila siku
Point bora kuanza upya.
 
Japo alifunga kagoli hakuwa na madhara mkuu ile mech ilikuwa ya mata nakwambia angalia ambavyo angetembea maana herrera alipiga mzigo sana jana tulihitaj kiungo mnyumbulifu kwa ajili ya martial na rashford

Mechi ya pili hii namuona rashford kaanza kucheza kiutu uzima.
Angecheza Mata tungefungwa mapema tu, jesse alikua anatimiza majukumu kwa asilimia zote kitu ambacho Mata asingeweza.
 
Mzee arsenal kumfunga united ni habar nyingine labda kocha aamue kama wakina rojo wangeyajua majukum yao mlikuwa kibla kocha fala kawarudisha mchezon kwa sub ya fellain,pogba na lukaku huwezi kumuacha nje mata ni mambo ya ajabu mno nayaona

Mechi ambayo arsenal huwa anajua kuicheza ni ya spurs wanafia hadi uwanjani.
wacha uwongo wako wewe......huna timu hiyo kwasasa zile zama za wenger zilipitaga nafikiri wewe bado unaota
 
Hii mechi ilikuwa ya valencia over dalot mata over lingard na fred angafanyiwa sub
angecheza valencia sasa hivi mungekuwa munaugulia kipigo..........yuleameshachoka sasa amekuwamzito hana tena ilekasi yake iliyozoelekani muda sasawakurudi kule WIGAN ATHLETICS
 
angecheza valencia sasa hivi mungekuwa munaugulia kipigo..........yuleameshachoka sasa amekuwamzito hana tena ilekasi yake iliyozoelekani muda sasawakurudi kule WIGAN ATHLETICS
Acha wewe mara ngapi dalot kakutwa nje ya nafasi yake kona zote zimetokea upande wake ndo upande uliokuwa mbovu valencia angakuwepo ule ujinga usingetokea
 
Back
Top Bottom