radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Hhaha niliwaambia ktk makocha chelsea wamebug ni huyo bwana waligomakwahiyo SARRI BALL out
Hhaha niliwaambia ktk makocha chelsea wamebug ni huyo bwana waligomakwahiyo SARRI BALL out
Kweli wewe huna akili kabisa bichwa box hivi Unai huu ndo msimu wa Kwanza na impact yake inaonekana wewe unaongea nini?ilikuwa ngumu sana kwa mrithi wa Wenger kupatikana hasa wa kuja na results kama hizi hakuna aliyetegemea kama Arsenal itakuwa namna hii kabisa tena Mechi 20 hajafungwa na kikubwa zaidi kacheza na Magiant jpili na jtano na ameondoka na points 4 Kati ya 6 Si kitu cha masihara kabisa tena kocha mpya kabisa ambaye hajui chochote kuhusu EPLTimu unayoweza kuifunga ni spurs tu toka wenger aondoke kipi kimebadilika? Kushika nafasi ya 5???
Mtu kama huyu anapataje namba mbele ya mata ukiwambia mtu anakwambia tungepigwa sasa hapa kazuia nininimekupata vema ingawa man city huyu mtu hakamitiki anapiga in and out watu ambao sinashaka nao ni hawa loserfoooooooooooool
Tunafurahia sababu Msimu wa Kwanza Unai ameonyesha uwezo ambao tulijua Arsenal itakuwa ya 10 huko ila anapambana sasa Misimu 2 ijayo ndo tutajua inakuwaje ila Msimu wa Kwanza ligi kama EPL kuwa hivi inaonyesha kuna kitu anachoMkuu aseno wengi ni kama Wamechanganyikiwa hivi yaani hata sijui wanafurahia nini
Unapokuja hapa jaribu kutumia lugha nzur njoo na hoja zako ukiniita kichwa box huwezi kubadili msimamo wanguKweli wewe huna akili kabisa bichwa box hivi Unai huu ndo msimu wa Kwanza na impact yake inaonekana wewe unaongea nini?ilikuwa ngumu sana kwa mrithi wa Wenger kupatikana hasa wa kuja na results kama hizi hakuna aliyetegemea kama Arsenal itakuwa namna hii kabisa tena Mechi 20 hajafungwa na kikubwa zaidi kacheza na Magiant jpili na jtano na ameondoka na points 4 Kati ya 6 Si kitu cha masihara kabisa tena kocha mpya kabisa ambaye hajui chochote kuhusu EPL
Mtu kama huyu anapataje namba mbele ya mata ukiwambia mtu anakwambia tungepigwa sasa hapa kazuia nini
View attachment 957803
hahahahahahahahahahahahahahahahahahah jamaa kakaba nywele................mimi najiulizaga kwanini chama anachezea simba alafu fellaini anachezea united!!!!!!!!!Mtu kama huyu anapataje namba mbele ya mata ukiwambia mtu anakwambia tungepigwa sasa hapa kazuia nini
View attachment 957803
Conte msimu wa kwanza kachukua epl timu aliikuta ya 8 point yako ni ipi?Tunafurahia sababu Msimu wa Kwanza Unai ameonyesha uwezo ambao tulijua Arsenal itakuwa ya 10 huko ila anapambana sasa Misimu 2 ijayo ndo tutajua inakuwaje ila Msimu wa Kwanza ligi kama EPL kuwa hivi inaonyesha kuna kitu anacho
hahahahahahahahahahahahahahahahahahah jamaa kakaba nywele................mimi najiulizaga kwanini chama anachezea simba alafu fellaini anachezea united!!!!!!!!!



maajabu sana haya mkuu spid hana ball contro hamna acha tufactTunafurahia sababu Msimu wa Kwanza Unai ameonyesha uwezo ambao tulijua Arsenal itakuwa ya 10 huko ila anapambana sasa Misimu 2 ijayo ndo tutajua inakuwaje ila Msimu wa Kwanza ligi kama EPL kuwa hivi inaonyesha kuna kitu anacho
Hhaha niliwaambia ktk makocha chelsea wamebug ni huyo bwana waligoma













Ndiyo maana nasema mambo bado, mapema sana kwa wagombania top 4Na United akiwa ana full squad napo atauwawa tena
Only the end will justify the meaning of better manager not TodayTunafurahia sababu Msimu wa Kwanza Unai ameonyesha uwezo ambao tulijua Arsenal itakuwa ya 10 huko ila anapambana sasa Misimu 2 ijayo ndo tutajua inakuwaje ila Msimu wa Kwanza ligi kama EPL kuwa hivi inaonyesha kuna kitu anacho
Kwanza mkuu kusema alikuwa uwanjani kwa hiyo ana upper hand kwenye hoja zake ni kutoelewa mambo. Nadhani anayeangalia TV anaona angle zote na ufasaha zaidi kuliko huyo aliyepo uwanjani. Ni rahisi hata kupitwa na matukio mengine lakini si sisi tunaoangalia TV.Sasa si useme second half mmetengeneza clear chance ipi?
Wewe kweli unaongea kishabiki kupitiliza...Kama Jana unaona mmecheza vizuri basi benchmark ya United this season is below per..
Soma comment ya Robbie Savage pundit aliyekua uwanjani..
"We say Manchester United were held 2-2 at home, but really it was Arsenal that were held 2-2, they were the better side especially second half.
Aubameyang had a big, big chance to score and a good save from David De Gea. They had a goal ruled out, I didn't see United play any football in the middle.
Where was the creativity, the energy? Kolasinac was a threat going forward and he left Dalot exposed. Overall Arsenal were the better side,they could have won.
Leta any comments from anyone hata Mourihno mwenyewe akisema United ilicheza vizuri na ilistahili kushinda..
Mimi naongelea Arsenal ambayo imekaa na Kocha mmoja miaka 22 siongelei Chelsea ambayo kila baada ya miaka 2 inakuwa na kocha mpya sababu kubwa ni kuwa kocha mfano chelsea anakuta timu bado ina chemistry kali ni vitu vidogo vidogo anaweza akaongezea na timu inarudi kwenye mstari angalia timu yako imekaa na kocha miaka 26 alivyoondoka mpaka leo mnayumbayumba hakuna la maana linaloendeleaConte msimu wa kwanza kachukua epl timu aliikuta ya 8 point yako ni ipi?
Acha kuandika pumba weweKwanza mkuu kusema alikuwa uwanjani kwa hiyo ana upper hand kwenye hoja zake ni kutoelewa mambo. Nadhani anayeangalia TV anaona angle zote na ufasaha zaidi kuliko huyo aliyepo uwanjani. Ni rahisi hata kupitwa na matukio mengine lakini si sisi tunaoangalia TV.
Mwanzo ulisema united hakutengeneza nafasi, sasa hivi umekuja na hoja ya hawakutengeneza nafasi wazi. Unajikanganya mkuu. Hoja yangu inasimama, United walitengeneza nafasi.
Swali la kizushi, hivi arsenal walitengeneza clear chances kwenye mechi ya jana? maana hata magoli yenyewe yalipatikana kutokana na makosa ya wachezaji wa United na si umahiri wa wachezaji wa arsenal.
Je Martial hakuwa threat going foward? Vipi kuhusu Rashford?
Man Utd kwa hali aliyokuwa nayo (majeruhi na form na kikosi walichokipanga na matazamio mliokuwa nayo arsenal) is a big failure for u Arsenal
Kwa hiyo sarri ana nafasi ya kubeba ubingwa kwa kuwa timu ina chemistry?Mimi naongelea Arsenal ambayo imekaa na Kocha mmoja miaka 22 siongelei Chelsea ambayo kila baada ya miaka 2 inakuwa na kocha mpya sababu kubwa ni kuwa kocha mfano chelsea anakuta timu bado ina chemistry kali ni vitu vidogo vidogo anaweza akaongezea na timu inarudi kwenye mstari angalia timu yako imekaa na kocha miaka 26 alivyoondoka mpaka leo mnayumbayumba hakuna la maana linaloendelea
Kwani ligi imeisha. Wewe hujui kwa hiyo tofauti ya point 8, May kuelekea June unaweza ukawa hiyo nafasi ya 8kwa hiyo wewe hapo huoni tofauti iliyopo mkuu?unavyosema pointi 8 tu kama ndogo vile na unajijua kuwa wababe wako msimu huu ni kina SOTON,BRIGHTON nk hizi game kubwa unakamia tu sasa hivi BOURNAMOUTH kashakushusha upo nafasi ya 8 huko
Point.Kwanza mkuu kusema alikuwa uwanjani kwa hiyo ana upper hand kwenye hoja zake ni kutoelewa mambo. Nadhani anayeangalia TV anaona angle zote na ufasaha zaidi kuliko huyo aliyepo uwanjani. Ni rahisi hata kupitwa na matukio mengine lakini si sisi tunaoangalia TV.
Mwanzo ulisema united hakutengeneza nafasi, sasa hivi umekuja na hoja ya hawakutengeneza nafasi wazi. Unajikanganya mkuu. Hoja yangu inasimama, United walitengeneza nafasi.
Swali la kizushi, hivi arsenal walitengeneza clear chances kwenye mechi ya jana? maana hata magoli yenyewe yalipatikana kutokana na makosa ya wachezaji wa United na si umahiri wa wachezaji wa arsenal.
Je Martial hakuwa threat going foward? Vipi kuhusu Rashford?
Man Utd kwa hali aliyokuwa nayo (majeruhi na form na kikosi walichokipanga na matazamio mliokuwa nayo arsenal) is a big failure for u Arsenal
Utasema yote tu mkuu