sikongefdc
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,610
- 2,158
Aseno kawakosa kosa kima nyinyi, barca hua nawalamba ninavyo taka.
Na magoli ya kubahatisha sioMnabahati sana leo
Ila endeleeni kukaa huko huko mtaa wa 10
Endelea kukaa huko huko mtaa wa 10Na magoli ya kubahatisha sio
Dalot ana miaka 19 na leo alikuwa mmoja ya wachezaji waliocheza vizuri.Akipewa nafasi atakuja kuwa beki tegemeo kwa UnitedDalot uchochoro dogo ana safar ndefu
Mtasubiri hadi mje Emirates? Unajua history ya home ni nzuri kuliko ya away..Mkitufunga tu anafukuzwa
Achana na hao akina Valence na Young ni shida nao.Another one point
The positive from today's match, TEAM SPIRIT was super
Observation:
We really need a £ 75+mill central defender
If Rashford and Martial Trusted they can be a plus for the team
Questions
Why Fredy and/or Pereira wasn't even on a bench
Why Valencia was not in a stsrting line up
What is certain, Jose knows how to play big matches
Hao ndo nyota wenu ulitaka nani acheze.Mzee arsenal kumfunga united ni habar nyingine labda kocha aamue kama wakina rojo wangeyajua majukum yao mlikuwa kibla kocha fala kawarudisha mchezon kwa sub ya fellain,pogba na lukaku huwezi kumuacha nje mata ni mambo ya ajabu mno nayaona
Mechi ambayo arsenal huwa anajua kuicheza ni ya spurs wanafia hadi uwanjani.
Matokeo mabaya siku zote hutesaHahahahaha mkuu unanichekesha sana
Inaonekana mpira unakutesa badala ya kukuburudisha
Tatizo lake kwenye cross tuDalot ana miaka 19 na leo alikuwa mmoja ya wachezaji waliocheza vizuri.Akipewa nafasi atakuja kuwa beki tegemeo kwa United
Guendo ametawala kati? Hivi mimi na wewe tumeangalia game mbili tofauti. Dogo amepoteza mipira mingi sanaMourihno leo ilitakiwa mumpongeze kwa namna alivyopanga kikosi mkuu...Angepanga unavyotaka msingecheza the same..
Hamna viungo vya kumiliki mpira Mbele ya Arsenal..Nafikiri umemuona Guendoz alivyokua anatawala kati....
Leo mmecheza vizuri sana Japo second half sijaona nafasi yeyote ya kufunga mliyotengeneza...
Yani hujui kama timu inawachezaji 23?Hao ndo nyota wenu ulitaka nani acheze.
Mzee hapo si ndo ulikula chuma 3 au?Mtasubiri hadi mje Emirates? Unajua history ya home ni nzuri kuliko ya away..
Yap Valencia alipaswa kuanza, hakuna ubishi kuhusu hilo. Kuna wakati ni ngumu sana kumuelewa Jose, anamuacha Dalot nje mechi kama ya Southampton (apate uzoefu kwanza) na badala yake anakuja kumuanzisha mechi ya Gunners, mechi yenye pressure kubwa.Hii mechi ilikuwa ya valencia over dalot mata over lingard na fred angafanyiwa sub