Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Lukaku
Fellain
Pogba

Hawa walikuja kuwarudisha arsenal mchezon japo marcos rojo kachoma ila kocha kazingua mechi ilikuwa nyeupe sana aiseeee
 
Hapana arsenal wadhaifu sana jose kaishiwa mbinu walahi asepe sasa japo mabek wamezingua

Fellain na pogba hata sikuona mchango wao kawarudisha mchezon nyie

No, sio hivyo. Mngecheza na timu ndogo mngepigwa ubaya. Hii ni all about a pride ya wachezaji kama nilivyosema jana. Since mmecheza home wachezaji waliraise a game wasifungwe na timu kubwa pinzani. Hawajacheza vizuri sababu ya Mourinho au lingine. NI PRIDE. Bottom of the line hawamtaki manager then again hawataki kufungwa na timu pinzani za siku nyingi hasa home. Forget Manchester city. Anyway tumefungwa magoli easy cheap. Arsenal bado wapo katika changes hasa defense line. Tutarudi juu muda si mrefu.
 
Another one point

The positive from today's match, TEAM SPIRIT was super

Observation:

We really need a £ 75+mill central defender

If Rashford and Martial Trusted they can be a plus for the team

Questions

Why Fredy and/or Pereira wasn't even on a bench

Why Valencia was not in a stsrting line up

What is certain, Jose knows how to play big matches
 
Hapana arsenal wadhaifu sana jose kaishiwa mbinu walahi asepe sasa japo mabek wamezingua

Fellain na pogba hata sikuona mchango wao kawarudisha mchezon nyie

Mourihno leo ilitakiwa mumpongeze kwa namna alivyopanga kikosi mkuu...Angepanga unavyotaka msingecheza the same..

Hamna viungo vya kumiliki mpira Mbele ya Arsenal..Nafikiri umemuona Guendoz alivyokua anatawala kati....

Leo mmecheza vizuri sana Japo second half sijaona nafasi yeyote ya kufunga mliyotengeneza...
 
Another one point

The positive from today's match, TEAM SPIRIT was super

Observation:

We really need a £ 75+mill central defender

If Rashford and Martial Trusted they can be a plus for the team

Questions

Why Fredy and/or Pereira wasn't even on a bench

Why Valencia was not in a stsrting line up

What is certain, Jose knows how to play big matches
Hii mechi ilikuwa ya valencia over dalot mata over lingard na fred angafanyiwa sub
 
Mumfunge nani na hicho kikosi. Always come back eti ushinde tuhubutu.
Mzee arsenal kumfunga united ni habar nyingine labda kocha aamue kama wakina rojo wangeyajua majukum yao mlikuwa kibla kocha fala kawarudisha mchezon kwa sub ya fellain,pogba na lukaku huwezi kumuacha nje mata ni mambo ya ajabu mno nayaona

Mechi ambayo arsenal huwa anajua kuicheza ni ya spurs wanafia hadi uwanjani.
 
No, sio hivyo. Mngecheza na timu ndogo mngepigwa ubaya. Hii ni all about a pride ya wachezaji kama nilivyosema jana. Since mmecheza home wachezaji waliraise a game wasifungwe na timu kubwa pinzani. Hawajacheza vizuri sababu ya Mourinho au lingine. NI PRIDE. Bottom of the line hawamtaki manager then again hawataki kufungwa na timu pinzani za siku nyingi hasa home. Forget Manchester city. Anyway tumefungwa magoli easy cheap. Arsenal bado wapo katika changes hasa defense line. Tutarudi juu muda si mrefu.
Point.
 
mou huwa anazingua lakini leo haki yake tumpe,timu imecheza vema ingawa kumekuwa na uzembe kwenye ulinzi.
observation yangu
kwa mara ya kwanza mou anajifunza kucheza bila pogba asiye majeruhi na anafanikiwa kimbinu
herrera anazidi kudhihirisha kuwa alipokonywa namba yake kimakosa,sasa anaitaka kwa lazima.
n:b. kila mashabiki wakiweka kauzibe darmian auzwe,kiwango kinapanda.
 
Hivi Arsenal tiliwapa LIMBWATA gani...

Yani hii gemu tulikua tunashinda....

Sijui Lukaku na Pogba waliingia kufanya nini leo...
 
Back
Top Bottom