Mourihno leo ilitakiwa mumpongeze kwa namna alivyopanga kikosi mkuu...Angepanga unavyotaka msingecheza the same..

Hamna viungo vya kumiliki mpira Mbele ya Arsenal..Nafikiri umemuona Guendoz alivyokua anatawala kati....

Leo mmecheza vizuri sana Japo second half sijaona nafasi yeyote ya kufunga mliyotengeneza...
Wew ndo umeongea hawa wengine ni kama hawatizami game za Man U,, tumecheza vizuri sana jana!

Kwa Man U ya sasa sikutegemea Draw na Arsenal ya leo.
 
Toka wafungwe na chelsea hawajapoteza mchezo ila unbeaten inakuwa ya kisenge sana maana united yupo hoi kazidiwa point 8 tu wakat ambae hakupoteza mchezo anapoint 31
Ndiyo maana mshabiki makini hawezi kupiga kelele leo, mfano mdogo Chelsea wanaanza kukataana mapema hapo Jpili anaweza kufa tena kwa city mtafuta sifa
 
Timu unayoweza kuifunga ni spurs tu toka wenger aondoke kipi kimebadilika? Kushika nafasi ya 5???
kwanza nilishasahau kama kuna kufungwa maana nimecheza muda mrefu napata +results
Nimefurahishwa na hamasa ya wachezaji walianza game kwa kasi flan hivi makosa madogo yametugharimu.
ni kweli uliyoyasema mkuu ila ni vema mkifungwa pia msikimbilie kumlaumu kocha...............
 
kwanza nilishasahau kama kuna kufungwa maana nimecheza muda mrefu napata +results
ni kweli uliyoyasema mkuu ila ni vema mkifungwa pia msikimbilie kumlaumu kocha...............
Kocha analaumiwa kwa sub zake mfano mech lain soft inayovutia kama ya jana fellain wa nini? Alipoingia tu dogo guonduz alichukua nafasi yake sasa maana fellain hana unyumbulifu dogo mnyumbulifu
 
Guendo ametawala kati? Hivi mimi na wewe tumeangalia game mbili tofauti. Dogo amepoteza mipira mingi sana

United kipindi cha pili hawakutengeneza nafasi? Nadhani hii mechi hukuiona, bali umesimuliwa. Goli la pili liliingiaje? Vipi kuhusu ile faulo aliyocheza Toreira kwenye penalty box mpaka akaumia? Embu niambie nafasi mlizotengeneza nyie.

Sasa si useme second half mmetengeneza clear chance ipi?
Wewe kweli unaongea kishabiki kupitiliza...Kama Jana unaona mmecheza vizuri basi benchmark ya United this season is below per..

Soma comment ya Robbie Savage pundit aliyekua uwanjani..
"We say Manchester United were held 2-2 at home, but really it was Arsenal that were held 2-2, they were the better side especially second half.

Aubameyang had a big, big chance to score and a good save from David De Gea. They had a goal ruled out, I didn't see United play any football in the middle.

Where was the creativity, the energy? Kolasinac was a threat going forward and he left Dalot exposed. Overall Arsenal were the better side,they could have won.

Leta any comments from anyone hata Mourihno mwenyewe akisema United ilicheza vizuri na ilistahili kushinda..
 
Toka wafungwe na chelsea hawajapoteza mchezo ila unbeaten inakuwa ya kisenge sana maana united yupo hoi kazidiwa point 8 tu wakat ambae hakupoteza mchezo anapoint 31
kwa hiyo wewe hapo huoni tofauti iliyopo mkuu?unavyosema pointi 8 tu kama ndogo vile na unajijua kuwa wababe wako msimu huu ni kina SOTON,BRIGHTON nk hizi game kubwa unakamia tu sasa hivi BOURNAMOUTH kashakushusha upo nafasi ya 8 huko
 
Chache sana point yangu ya msingi ukiwa unabeaten tandika gepu la city na liverpool unaweza kupoteza mech tatu strait bado wa tatu na nne hamna cha kumuwazia hapo ukipoteza gem moja tumbo joto mfano chelsea akilambwa na jumamosi arsenal yupo juu yake ambae alianza msimu hovyo umeona tofaut na sioni arsenal kupoteza gem ijayo
 
Sasa si useme second half mmetengeneza clear chance ipi?
Wewe kweli unaongea kishabiki kupitiliza...Kama Jana unaona mmecheza vizuri basi benchmark ya United this season is below per..

Soma comment ya Robbie Savage pundit aliyekua uwanjani..
"We say Manchester United were held 2-2 at home, but really it was Arsenal that were held 2-2, they were the better side especially second half.

Aubameyang had a big, big chance to score and a good save from David De Gea. They had a goal ruled out, I didn't see United play any football in the middle.

Where was the creativity, the energy? Kolasinac was a threat going forward and he left Dalot exposed. Overall Arsenal were the better side,they could have won.

Leta any comments from anyone hata Mourihno mwenyewe akisema United ilicheza vizuri na ilistahili kushinda..
Hili nimewaambia humu watu wanakataa hata simkumsoma mm huyo mchambuzi lakin niliona tu kuanzia dakika ya 77 kiungo kilikufa dogo alikuwa vizur sana
 
Chache sana point yangu ya msingi ukiwa unabeaten tandika gepu la city na liverpool unaweza kupoteza mech tatu strait bado wa tatu na nne hamna cha kumuwazia hapo ukipoteza gem moja tumbo joto mfano chelsea akilambwa na jumamosi arsenal yupo juu yake ambae alianza msimu hovyo umeona tofaut na sioni arsenal kupoteza gem ijayo
nimekupata vema ingawa man city huyu mtu hakamitiki anapiga in and out watu ambao sinashaka nao ni hawa loserfoooooooooooool
 
Back
Top Bottom