Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,753
- 7,846
mzee wa statistics bana....
...hapa mpaka arobaini iishe, na tumsomee khitima marehemu ndio tunaondoa matanga...
....funeral procession hiyo bana, he he he!
Mshamaliza kuwanga kwa kisingizio cha kutoa pole?
Maana wenye msiba tushamaliza kuomboleza sasa tunataka kuendelea na maisha ya kila siku.
...hapa mpaka arobaini iishe, na tumsomee khitima marehemu ndio tunaondoa matanga...
Kuanzia saa nne asubuhi British Standard Time kutakuwa na Trophy Parade, MUTV watakuwa wanaonyesha live both kwenye tv na online kupitia kwenye hii address Manchester United Official Web Site - MUTV sina uhakika kama inabidi usign up ili kuweza kuona streams au la.
Picha kutoka mitaa ya Greater Manchester.
....funeral procession hiyo bana, he he he!