Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ukiachana na u-staborn wake ila amepiga kwenye mshono
Yeah it's true....United imejijengea kaliba hyo na ndo maana wachezaji wengi wanaenda si kwa mapenzi ya timu Bali mihela wanayoahidiwa...wages wanazolipa na transfer fee za kufuru
 
Unafumgwa na ukizingua unapigwa vilevile
IMG-20240429-WA0035.jpg
 
Yeah it's true....United imejijengea kaliba hyo na ndo maana wachezaji wengi wanaenda si kwa mapenzi ya timu Bali mihela wanayoahidiwa...wages wanazolipa na transfer fee za kufuru
Sasa Rashford wa kulipwa €300+? Huu si ndio uchizi huu!
Bukayo saka mmoja = Lori tatu za rashford
 
NGUMU KUMEZA[emoji116]

Player of the season so far : Martin Odegard

Coach of the season: Arteta / Guardiola

Flop of the season : Marcus Rashford

Trash of the season: Andre Onana

Most improved player : Benjamin White

Unsung Hero: Cole Palmer

Signing of the season : Declan Rice

Keep this player: Thomas Partey
 
Ivi kuna siku tutafikia style ya uchezaji kama ile ya dortmund


Jamaa ni mbio mwanzo mwisho na full controll miguuni ball balance imejaa pale
Tukiwa na wachezaji sahihi na wanaopigania badge ya club yes itawezekana.

Ukiwaangalia Madrid walivyocomposed na mpira ni kama wanacheza na watoto wadogo.

Hata uwapress vipi wao wanamove mpira hata kwenye eneo dogo wanabeat press yako hao wanaondoka.

Wakireceive mpira kinachofanya reaction ni miguu tu siyo kama wachezaji wetu kureceive mpira tu mwili mzima unayumba mpaka Mapwege.
 
[emoji599] OFFICIAL: Kobbie Mainoo's goal vs Liverpool has been nominated for April Premier League goal of the Month.

Your vote



#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨[emoji2522]
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏[emoji469]
#𝙂𝙂𝙈𝙐[emoji123][emoji41]

man utd |
IMG_20240502_224128_980.jpg
 
Ivi kuna siku tutafikia style ya uchezaji kama ile ya dortmund


Jamaa ni mbio mwanzo mwisho na full controll miguuni ball balance imejaa pale
Tatizo pale Carrington wamejazana mabitozi na masharobaro, wanakula mishahara mirefu halafu kujituma uwanjani wenyewe wanaona kama hisani sio wajibu.
Rashidi anaweza kupoteza mpira halafu akawa anatembea tu uwanjani kama anamsindikiza bwana harusi.
 
M
Ili usajiriwe arsenal, kwanza uwe the gunner au uwe na mapenzi na timu

Pili uelewe project na uwe tayari kufia uwanjani kwa ajiri ya timu

Look at this, alipoulizwa kuhusu kuwa sehemu ya squad ya nyumbu[emoji116][emoji1751]View attachment 2978531
Mshiko mbele kwanza halafu mpira ufuate.
Unasema kwetu ni mpira kwanza, halafu mshiko upo tu, siyo?
Utakuwa sahihi.
 
Man utd tuna laana, ndio nimeamua kukaa kimya kwa sasa, siandiki tena magazeti, siumizi kichwa juu ya kocha ajaye, siumizi kichwa juu ya mipango ya INEOS.

Yote nayaona ni rubbish na hizi tetesi za usajili ndio zinazidi kunivunja moyo haijalishi ni uongo mwingi.

Fragile Ego
============
1714831902122.png

Ipswich wanarudi ligi kuu baada ya miaka 22, jamaa amewatoa daraja la kwanza chini mpaka daraja la kwanza kuu kwa mwaka mmoja.

Then kwa mwaka mmoja anawarudisha ligi kuu kwa bajeti ya paundi millioni 6.

Wachezaji wetu walisema Mckenna ana mazoezi ya kitoto

Kumamakeee!!!!
 
Back
Top Bottom