Kwa hali mliyoko tutachukua tena kombe kabla yenu....!!Hongereni wakuu kwa kufanya parade nzuri ya kinafiki ...... hiyo haiondoi ukweli kwamba mechi zenu myingi kwenye EPL mnashinda kwa bahasha i.e. hakuna mechi mnazoshinda bila utata, mfano ni Barca walivyowachomoa hata kisingizio sifuri. Kwa jinsi mambo yanavyokwenda ule mtandao wa Fungie na marefa wake utakufa siku si nyingi maana ile kamati ya Bunge la UK imewakalia kooni FA kwa hiyo waswahili wanasema time out. Ndio chababu chacha mnahaha mnataka kuvamia soko lakini mpunga hamna khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Hongereni wakuu kwa kufanya parade nzuri ya kinafiki ...... hiyo haiondoi ukweli kwamba mechi zenu myingi kwenye EPL mnashinda kwa bahasha i.e. hakuna mechi mnazoshinda bila utata, mfano ni Barca walivyowachomoa hata kisingizio sifuri. Kwa jinsi mambo yanavyokwenda ule mtandao wa Fungie na marefa wake utakufa siku si nyingi maana ile kamati ya Bunge la UK imewakalia kooni FA kwa hiyo waswahili wanasema time out. Ndio chababu chacha mnahaha mnataka kuvamia soko lakini mpunga hamna khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
This week's rumours
Arriving
Charlie Adam (£16m)
Wesley Sneijder (£35m)
David De Gea (£18m)
Luka Modric (£25m)
Ashley Young (£15m)
Fabio Coentrao (£26m)
Total: 6 players, £135m
The Gossip
The transfer window is open once more, and out flood the rumours. Keep track of all the United tittle-tattle with The Gossip...
10:30 We have the latest round-up of tabloid tales on the site with updates on the links with Arsenal ace Samir Nasri and Aston Villa winger Ashley Young. Wayne Rooney also expects United to spend big this summer and we'll detail every name thrown into the ring right here.
Juzi nilisikia kuwa Charlie Adam alionekana akitafuta nyumba maeneo ya Worsley...Huyo Adam aende Liverpool hatumtaki old trafford, mwingine ni jack Rodwell.
sifa kubwa ya makipa toka spain ni wazuri ktk kusevu penati,hata fernando torres nae alishawahi kudaka mechi 1 alipokuwa atletico madrid na ni mzuri alianzia kipa,spain imejaliwa kizazi hiki sasa,sio cha wakati ule kina pedro munitiz,ismail urzaiz na javi moreno wanapiga chenga hadi nje ya uwanja mpira wanamiliki lakini wanafungwa wao yani kama mwanamke mzuri mrembo ila tabia mbovu,ila tunamshukuru babu luis aragonez na sharubu vicente del bosque wameleta tiki taka staili pale kati inatisha kina biskut,xavi,iniesta,alonso hapo super sub fabregas,jesus navas,david silva,pedro rodriguez ledesma,santi cozorla nk kina arteta wanaitwa mara chache chache.jamani jamani, adam ana quality gan mpaka apewe bei iyo!? Mimi ni shabik wa man u, zaid ya kipa sitapenda usajili wa jina lolote kubwa. Kocha awape nafasi kina morrison, pogba, cleverley, keane, tunniclife na norwood. Hakuna haja ya big name signing
sifa kubwa ya makipa toka spain ni wazuri ktk kusevu penati,hata fernando torres nae alishawahi kudaka mechi 1 alipokuwa atletico madrid na ni mzuri alianzia kipa,spain imejaliwa kizazi hiki sasa,sio cha wakati ule kina pedro munitiz,ismail urzaiz na javi moreno wanapiga chenga hadi nje ya uwanja mpira wanamiliki lakini wanafungwa wao yani kama mwanamke mzuri mrembo ila tabia mbovu,ila tunamshukuru babu luis aragonez na sharubu vicente del bosque wameleta tiki taka staili pale kati inatisha kina biskut,xavi,iniesta,alonso hapo super sub fabregas,jesus navas,david silva,pedro rodriguez ledesma,santi cozorla nk kina arteta wanaitwa mara chache chache.
Mkuu hebu tuwekee orodha ya very best players na definition yake?
Japo sikutaka kuchangia hii post humu, nitachangia tu kwa vile ipo kwenye thread ya watu(sorry)
Tatizo la Spain ilikuwa ni Raul na Fernando Hiero, hawa walikuwa na nguvu kwenye timu kuliko hata kocha wa NT na walichangia mgawanyiko kwenye timu.
Baada ya WC 2006 Luis Aragones(Coach) alijivua gamba na kumfukuza Raul kutoka kwenye timu kwa vile alikuwa anaigawa timu, na matokeo yake ndo haya tunayoyashuhudia sasa
![]()
Better than Maradona: Messi (right) fires home a brilliant
second to draw comparisons with the very best
The sucker punch khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
" Better than Maradona: Messi (right) fires home a brilliant second to draw comparisons with the very best"
Mkuu hayo ndio maneno uliyosema pale awali!!!
Ebu jikumbushie hii link kidogo Champions League - Is Messi the greatest ever? - Yahoo! Eurosport
Messi ni mchezaji mzuri, tena sana. Lakini tatizo ni moja, anawika sana akiwa na klabu yake..akiwa na timu ya taifa anaonekana ni kama mchezaji wa kawaida sana!! Cheki alivyobofya kombe la dunia pale bondeni...sasa unavyosema better than Maradona nakua sikuelewi kama uko sawa..Maradona ana medali ya kombe la dunia..alikua ana consistency form kuanzia katika levo ya klabu hadi taifa. Ukienda kwa Pele, habari ni ile ile, aliwika kuanzia ngazi ya klabu hadi taifa. Nenda kwa Zidane na Ronaldo (R9) wote hawa waliwika na kucheza katika kiwango kile kuanzia kwenye klabu zao hadi timu zao za taifa.
Soma ile link juu uweze kupata upande mwingine wa dunia inahisi Messi bado hajafikia levo ya kuwekwa katika historia moja na Pele, Maradona, Zidane na R9.