Ikumbukwe kuwa feb 16 Arsenal watakuwa wanatolewa kwenye kombe la pili msimu huu....stay tuned on zos dates..
 
Mpo wazee? mbona kimya? Leo mmeshikika! Yes indeed, it was a MUNICH-ESTER disaster!

The good thing about MANU they know how to throw away important matches...:) If we win tomorrow the gap will be 5 points and counting...:)
 
City's win saw them complete the first league double over their arch-rivals for the first time since the 1969/70 season.

Hii timu kutoka nyumbani kwetu tumeishindwa kabisa. Ni mechi ya tatu mfululizo tunachapwa. Sijajua shida ilipo kabisaaa!
 
The Next Station Is Old Trafford, Please Mind The Gap!!

hehehe na kweli mmefika station nadhani hapo ndio kigoma kwenu mwisho wa reli dooh wadooogo kama sio nyie...

anyways loh asafali tumepewa angalau pumzi yetu tena ya kuongea maana.....

mie nilivyoona hii list ya squad na formation yetu mwanzoni nilidharau lakini kumbe babu ni nomaaaaa tatu buyu...

pale kati kaniwekea vuruga vuruga tupu basi arsenal lile kapeti lao wanalotandaza halionekani kabsaaa
 
wallahi hawa watoto leo wamenipa raha ya ajabu...kumchapa wenger nne!!
da game is over labda tuanze sikiliza visingizio...
thanx to nani,rooney,fletcher n fletcher via gallas as usual
 
Magoli yote yawe thalathini, lakini ilikuwa bahati kwa upande wa Arsenal kufungwa manne!

Mzalendohalisi nakusalimu!
Troure tumemuona karudi! tulimsubiri kwa hamu, yaani leo tunawafundisha kandanda!
 
Magoli yote yawe thalathini, lakini ilikuwa bahati kwa upande wa Arsenal kufungwa manne!

Mzalendohalisi nakusalimu!
Troure tumemuona karudi! tulimsubiri kwa hamu, yaani leo tunawafundisha kandanda!

Poleni sana watani wetu wa Emirates kwa kufungwa, ila bado mnatuongozea ligi kuu. Kazeni buti
 
mla ni mla leo,habari ya kusubiri ligi iishe ndio uanze kuchekelea si busara,hata kama waswahili wanasema anayecheka mwisho hucheka zaidi,mimi bora nicheke mapema.hiiiiiiiiiii,Msisahau simba nao wamemla mtu,sijui jamaa zangu Yanga walikoenda kutembea,mwenye kujua nipe jibu
 
Aseno wanajua kukimbiakimbia uwanjani tu.
Hakya NANI Galasi anichekesha. Hv kwanini wanaongoza ligi?
 
Aseno wanajua kukimbiakimbia uwanjani tu.
. Hv kwanini wanaongoza ligi?
Roya,
Kama uko serious na hii comment yako its clear utakuwa na knowledge ndogo sana kwenye mambo ya mpira. Bila kujali ushabiki, Arsenal ni timu ambayo inasifika duniani kwa kucheza attractive football, they are exciting to watch (apart from saturday ofcourse!). Na kwa kukusaidia tu uongozi wa ligi unapatikana kwa points unazojikusanyia na si vinginevyo,tumeshinda games nyingi na ku loose chache kuliko timu nyingine yoyote, the league table never lies- you just need to look at it now to know who is the best.
 
Magoli yote yawe thalathini, lakini ilikuwa bahati kwa upande wa Arsenal kufungwa manne!

Mzalendohalisi nakusalimu!
Troure tumemuona karudi! tulimsubiri kwa hamu, yaani leo tunawafundisha kandanda!

Pakupaku,

Tafadhali usitunyanyapae kwa kufungwa na MU mechi moja!

Heshima Mkuu!
 
Back
Top Bottom