kwa kuwazidi arsenal kwa gd zaidi ya kumi..which is not samsing ya kubezwa as ligi ingeisha leo nani angekua bingwa?

Kinacho matter sio wingi wa magoli Mtaalamu- ni goal difference na kama sikosei kwa sasa GD kati Man na Gunners ni only 6 goals, lakini im not bothered at all with this either kwa kuwa the premiership has never been won on GD and it not going to happen in this season.
 
ya thats wat i was talkin abt..gd i meant goal difference ila tu nilikosea idadi..goli sita nazo nyingi..kwanini na nyie msingekua na samsing better ziaid?
lets be wapole na kuzidi fuatilia ligi ya mwaka huu maana nadhani itakua tamu zaidi as chelsea,man utd na arsenal watafukuzana kwa speed ya ajabu..ila mwisho wa siku bingwa atakua man utg
 
Hizi goli sita mnazotuzidi nazo zilipatiana siku ile mliyocheza na watoto yatima wa Newcastle (they had no manager by then!). You are right, after a very long time, we are going to have an exciting season till the end.
 
Whatever be, hizo goli ziwe zilipatikana wakati wa mechi na Newcastle ama kokote kule bado Man wako juu tuu. Liverpool mwaka huu ndio hoi kabisa, sijui kama watakuwepo hata katika nne bora, wanatia huruma sana masikini!
 
arsenal msisahau mna watu wanawakimbiza nyuma...na pia mna mechi nao tena kwao waitwao chelsea..halafu mna mechi tena na man utd ugenini...yaani mwaka huu
 
Mna taarifa za kichapo cha AL hilal jana huko Saudia? Al hilal 3 Man U 2. Mtaalam, Arsnl na Man ziko sawa kwa points so timu yoyote inayoifukuza Arsnl inaifukuza Man U pia. Trafford vijana watakuja na kufanya kile walichokifanya last season and mind you we were not at our best.
 
Nguvu za soda za Asernal zimeshaisha... hakuna kubanana si ajabu akapitwa na chelsi. Man U moto mkubwa ule.
 
jamani jamani huyu mtoto Ronaldo walaahi hana adabu..dohhh yaani ameturudisha tena juu aka on top hata hajawapa nafasi mdebwedo arsenal wakae on top kwa siku kadhaaa wasahau machungu ya kupigwa tano....
 
Naona Arsenal watachonga sana leo!
Hongereni sana vijana kwa kukalia ligi.
 
KUjikwaa si kuanguka..madogo wa spurs walibana sana game na hii inatokana na hasira zakutolewa nao(MAN U) kwenye FA cup..walikuwa kama wanataka kulipa kisasi..ila mkubwa ni mkubwa tu..Gooners wapo kwa muda pale juu km wiki mbili tu!!
 
Arsenal ni timu ambayo imeongoza ligi this season kwa muda mrefu kuliko timu nyingine yoyote, Man U mmekua mkiongoza kwa GD tu na sio points, yani hamjawahi kutuacha!!!
 
MU wamejikwaa leo na mechi ingine wakicheza kama leo watafungwa! Na ndo Arsenal hututashikika tena!

hivi ni wewe kweli ulie shabiki wa arsenal wadhubutu kuchonga hivyo ukasahau kuwa madogo hao hao spurs waliwakunguta bao tano hadi michezaji yenu ikaanza kupigana uwanjani??alafu wadiriki kusema eti man utd wakicheza tena hivyo watafungwa..jus know that spurs hao ni timu nzuri on top of that walikuja wakiwa wamekamia game due kupigwa na manutd fa cup...wallahi ingekua ni arsenal pale siku hiyo mngekunya kumi kama sikosei...

abt kuongoza ligi ndugu zanguni kumukeni tuu kutangulia sio kufika..

ila msimu wa mwaka huu utakua moto kweli kweli as hata chelsea nyuma huko anaweza akaja kuwa bingwa
 
--------------------------------------------------------------------------------

Sunday, 10 February 2008
Chelsea v Liverpool, 16:00 Liver naona kama watadondokea Pua hapa darajani Chelsea hajapotea ila atakujapoteza April 26 kwa mashetani wekundu
Man Utd v Man City, 13:30 Hapa kuna mziki mzuri ila Mashetani watakandamiza tu hawajabikiriwa nyumbani na kamwe haitatokea msimu huu

Monday, 11 February 2008
Arsenal v Blackburn, 20:00
Hapa nadhan itakuwa draw mechi manUtd wanaweza kulevel gap
--------------------------------------------------------------------------------

Saturday, 23 February 2008
Birmingham v Arsenal, 12:45Nadhani hamtasahau mechi iliyopita so ss mpo nyumbani kwao sijui nisemeje hapo namwoma kama ferguson atakuwa na tabasamu mchana huo!!! hahahaha
Newcastle v Man Utd, 17:15
Tumeingia nao Ubia hawa na bIA YAO ni mwendo wa sherehe tu pale kwa mtakatifu James park
 
Back
Top Bottom