Man Utd are always the Record wRecker,safari ndio imeshaanza na Arsenal wanajua shughuli yao na Everton,Wakawaulize vijana wa bolton.Everton wana hasira ya kufungwa na Man.
Man Utd haikamatiki,ni sawasa na kutaka kukata mti mkubwa kwa kutumia wembe.
 
Man Utd are always the Record wRecker,safari ndio imeshaanza na Arsenal wanajua shughuli yao na Everton,Wakawaulize vijana wa bolton.Everton wana hasira ya kufungwa na Man.
Man Utd haikamatiki,ni sawasa na kutaka kukata mti mkubwa kwa kutumia wembe.


Ndio umepata cha kusema, mbona ulikuwa kimya wakati wote? Mwaka huu ubingwa sio wenu. Si uliona magoli mliyofunga juzi yalikuwa ya kubambia bambia tu, shukuruni marefa kwa kuwapendelea bila hivyo penalty za bure bure mngekuwa mkiani.
 
Haya, haya, haya, kumekucha kazi ndio kwanza inaanza. Lolote huweza kutokea ligi ya Uingereza.
 
hope nyie ma bwa wadogo Arsenal hapo umemaanisha tuonane mwaka ujao ukiongelea msimu ujao as huu mmeshaona man utd hakamatiki tena...right???

Man Utd are always the Record wRecker,safari ndio imeshaanza na Arsenal wanajua shughuli yao na Everton,Wakawaulize vijana wa bolton.Everton wana hasira ya kufungwa na Man.
Man Utd haikamatiki,ni sawasa na kutaka kukata mti mkubwa kwa kutumia wembe.

Badala ya kuwa Manchester United mmekuwa manure maana the Irons wamewatumia vizuri na hoja ya nani atakuwa on top new year imeisha sasa leteni hadithi za Abunuwasi na essopo.
 
Badala ya kuwa Manchester United mmekuwa manure maana the Irons wamewatumia vizuri na hoja ya nani atakuwa on top new year imeisha sasa leteni hadithi za Abunuwasi na essopo.

Hatuleti za Abunuwasi, mmeshinda 4-1.
Hongera zenu
 
Wanainuka, wanainama, wanaona haya haoooo...:)

United's silent fans blasted by angry Ferguson


Manager says home crowd were 'disappointing'
Worries over ankle injury suffered by striker Tevez

Daniel Taylor at Old Trafford
Wednesday January 2, 2008
The Guardian

Sir Alex Ferguson described Old Trafford as having the atmosphere of a "funeral" when he spoke after Manchester United's 1-0 win over Birmingham City. Carlos Tevez's goal means the champions have won 10 league games in a row on their own ground but Ferguson was distinctly unimpressed with United's supporters, accusing them of letting down the team.
"The crowd were dead," he complained. "That was the quietest I have heard the crowd and it's disappointing because we needed the crowd today. We have come through a difficult period of game after game and in moments like these we need a lift. But it was like a funeral out there."

This is not the first time Ferguson has felt aggrieved about the lack of noise at Old Trafford and his complaints will bring back memories of Roy Keane's notorious rant about the club's supporters. Keane had questioned whether some United fans "can spell football never mind understand it" and suggested that they were more interested in eating prawn sandwiches than watching the game. Ferguson was more diplomatic but the United manager was clearly angered, drawing a direct link between the poor atmosphere and a laboured performance from his team.
"It was so quiet," he complained. "I don't think that helped us. The players need the crowd sometimes but the atmosphere inside the ground wasn't good. It's all right saying the players have to make the crowd respond but there are some situations, like today, when we need them to get behind us and give us a lift. The players need the crowd to respond and vice versa. But it was dead."

Ferguson has complained in the past about foreign supporters on day trips harming the atmosphere at Old Trafford, saying his team had more backing in away games. "There have been periods like this before," he continued. "It's not just today, it happened a few years ago as well when we were the dominant team in the league. The crowd come to be entertained but sometimes we need them to help us get the right kind of performance."

Ferguson's anger extended to the referee Peter Walton's "bad" decision-making and, in particular, the number of fouls on Tevez. The Argentinian was eventually substituted after 71 minutes, nursing a badly bruised ankle inflicted by a first-half challenge from the visiting captain, Liam Ridgewell.

"We had to take him off because the longer the game went on the worse it got," Ferguson explained. "We will have to assess it in the morning and see what the damage is but he's obviously a doubt for Saturday [when United play Aston Villa in the FA Cup third round]."

Tevez celebrated his goal by producing a baby's dummy from inside his shorts but Ferguson was more concerned about the sight of his player being carried down the tunnel at the final whistle. "Carlos has real tenacity," the United manager continued. "He's as brave as a lion, he doesn't roll around and he wouldn't normally come off, so that gives you an idea about what kind of tackle it was. It was a sore one."

The victory kept United two points behind Arsenal but Ferguson was disappointed that his players had not won more handsomely. "We were careless and we really can't do these things," he said. "I was concerned towards the end because it takes only a second to score a goal and they [Birmingham] had a lot of possession in the last third, abetted by some of the referee's decisions and linesman's decisions."




 
Mimi naipenda sana Man U! Lakini huyu Saha ningependa auzwe haraka sana! naomba salamu zangu muzifikishe kwa Ferguson! By the way My fovourite players is Ronaldo & Evra, wakitoka hawa itabidi niu-review upenzi wangu juu ya Man United!
 
kusema ukweli mie saha hali yake ya sasa hadi namuone huruma as ni striker mzuri ila majeruhi na situation ilivyo ya sasa yazidi muumiza hata yeye as anakosa kabsaa raha moyoni kutofunga mabao mengi though he is a nice striker
 
haya wana man utd sasa ni wakati wetu kuchonga na kutembea kifua mbele...
goli 6 si mchezo kwa kipindi cha pili tuu!!
we are on top of the msimamo
 
haya wana man utd sasa ni wakati wetu kuchonga na kutembea kifua mbele...
goli 6 si mchezo kwa kipindi cha pili tuu!!
we are on top of the msimamo

Sana tu man, kuchonga muhimu sana.
Tunatamani sana kuwa on top of the premier league, na kama tutashinda mechi mbili zijazo basi mambo yatakuwa shega sana. Unajua Arsenal ya mwaka huu imekaa vibaya sana, watoto wanacheza kwa jazba ile mbaya, kwa hiyo vijana wa Man wasipokomaa kisawasawa itakuwa soo.
Nimefurahia sana ushindi wa 6-0.

Long Live Man United.
 
hao wengine hawana kitu kwa sasa mpaka kombe la africa liishe watapata tabu kwa wakati huu as wana majeruhi na wachezaji wako africa...Mungu bariki ivory coast ifike mbali...for the time being sisi ni kuhakikisha moto ni huu huu tuu
 
hao wengine hawana kitu kwa sasa mpaka kombe la africa liishe watapata tabu kwa wakati huu as wana majeruhi na wachezaji wako africa...Mungu bariki ivory coast ifike mbali...for the time being sisi ni kuhakikisha moto ni huu huu tuu

Mtaalam huku ndio pa kumwagia misifa ya Man U, ukipeleka huu uzushi kwenye thread ya Arsenal unatafuta matusi, watu tuna hasira kichizi leo.
 
ronaldo_280x390_418268a.jpg


RON-DERFUL ... hat-trick hero Cristiano Ronaldo celebrates with his United team-mates.

CRISTIANO RONALDO'S hat-trick piled on the Magpies' misery as Manchester United went top. The Portuguese winger made it 22 goals for the season with his first-ever treble to deflate managerless Newcastle. Carlos Tevez weighed in with a double and Rio Ferdinand also chipped in as Alex Ferguson's men went ahead of Arsenal on goal difference.

But Alan Smith's Old Trafford return turned sour in injury-time when he was sent off for dissent after arguing about United's sixth. Newcastle will feel aggrieved after Michael Owen's first-half strike was wrongly ruled out for offside. But United were in unstoppable form in the second half as they tore the visitors apart to score all six goals.

Ronaldo opened the floodgates four minutes after the break when his free-kick went under the leaping Newcastle wall and past the despairing dive of Shay Given. The Toon keeper gifted United their second on 55 minutes after a poor clearance allowed Tevez to slot home. Ronaldo's second on 70 minutes was sublime as Michael Carrick picked out Wayne Rooney to begin a dazzling move. He laid the ball off to Tevez, whose first-time pass rocketed towards Ronaldo.

But his instant touch killed the ball and he sent Given the wrong way to finish into the far corner. Ferdinand volleyed home number four as he raced on to Rooney's chip. Ronaldo's deflected effort sealed his hat-trick and Tevez was awarded his second after the ball crashed beyond Given's line and out again. Smith immediately laid into referee Rob Styles and was ordered off.

How many goals should they score to win the title?
 
Mtaalam huku ndio pa kumwagia misifa ya Man U, ukipeleka huu uzushi kwenye thread ya Arsenal unatafuta matusi, watu tuna hasira kichizi leo.

hhahaha poleni sana wazeee sasa kwanini mpende timu kama hiyo ya kuwapa hasira za mara kwa mara???karibu kuwa wanachama huku furaha ol da tym.....

ila kama vipi nyie sageni chupa mnywe tuu as man utd ndio wameondoka hivyoo na ubingwa bye byee
 
MU
Nawapongeza- na sisi Arsenal tutabanana hapa hapa kileleni yaani hadi kieleweke! Hatutawaachia pumzi!
 
Huu ushangiliaji wa Tevez itabidi ashitakiwe HAWEZI KUWA ANATEMBEA NA KINYONYO CHA MTOTO. HIZI DHARAU YAANI ANAJUA PIGA UA LAZIMA ATASHINDA TU GOLI. Man Utd Forever.
 
Huu ushangiliaji wa Tevez itabidi ashitakiwe HAWEZI KUWA ANATEMBEA NA KINYONYO CHA MTOTO. HIZI DHARAU YAANI ANAJUA PIGA UA LAZIMA ATASHINDA TU GOLI. Man Utd Forever.

Au sio?
Basi mumnyang'anye hicho kinyonyo cha mtoto!
Kwi kwi kwi!
 
Back
Top Bottom