Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
Romero, Valencia na Rojo uchovu wa kuchezea timu zao za taifa huku Jones na Smalling
Ndiyo mwelekeo maana hatutakagi upuuzi wa Real Madrid kutugeuza ngazi ya kushinda Champions Leaguewaende kwa yule wa chelsea
Dea Gea hana "release clause" kwenye mkataba wake. Hivyo Real Madrid wakihitaji kumsajili wajiandae na kitita kisichopungya £66 mill
basi ukiangalia jinsi madrid wanavo jifariji na gazeti lao la marca, unaweza ukadhani man utd yupo kwa mkopowaende kwa yule wa chelsea
basi ukiangalia jinsi madrid wanavo jifariji na gazeti lao la marca, unaweza ukadhani man utd yupo kwa mkopo
hao jamaa wananifurahishaga sana. kinachonifurahisha zaidi kila mchezaji wao ni WC
Kaka mou sio bwege kumpa nafasi daily smalling maana naamin huu ni msimu wake wa mwisho kuwa first eleven pale nyuma
Lazima asajili kitasa aiseeee msimu ujao