Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ni kweli!

Screenshot_2017-04-01-08-34-56.png
 
Umeniona kwenye jukwaa lolote nikiishabikia timu yoyote zaidi ya hii? Tatizo lenu mnadhani ukiwa shabiki wa timu flan huwezi kuiongelea -ve timu yako, huo ndo tunauita ushabiki maandazi. Mimi siko hivo mjomba, ikifanya vizuri naisifia na ikiboronga nasema pia
Utd hii ni pasua kichwa na wala hamna timu ya ushindani pale
Una uongo mwingi sana blaza, mfano ulivyokuwa unafanya comparison ya rooney na ibra.
 
mnatakiwa mrudi nafasi yenu ya sita leo, tumechoka kelele zenu
 
Mimi naamini team kama ina morale hata wachezaji wakiwa wa kawaida ushindi lazima na nina uhakika leo tunapiga mtu mapemaaa
 
Back
Top Bottom