Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ferguson afunguka

Screenshot_2017-03-28-09-55-44.png
 
Sawa nakubali Mimi naishi Tanzania ( sub sahara country)... Sijui wewe mwenzangu mungu kakubaliki unaishi wapi ... Naona badala ya kujikita kwenye kwenye hoja umeanza personal attacks kama kama mwanamke Malaya.. Kuwa kama mwanaume halisi sio maneno ya kipuuzi ....

Unajifanya we ni mdau Mkubwa wa Manchester wakati hata membership huna... Shenzi kabisa.. Bado shabiki uchwara una maneno ya shombo kwa shabiki mwenzio ingekuwa vipi ungekuwa na Membership card ya Manchester si ndio ungetuita vichaa....

Mimi ni shabiki ninaengoa good or bad kuhusu team na huna mandatory duty ya kunizuia kuongea as longer as sivunji taratibu za Jf..... It's my own opinion.. Siwezi kujenga hoja na wewe inaonekana ushabiki umekutawala ...

Hivi umesoma vyema nilichokiandika? Hivi umeelewa vyema hoja niliyoiongelea??? Sitaki niongee ila nakuomba usome kwa Mara ya pili inaonekana wewe una womanic instincts kwenye comments za wanaume .....

Unasema pogba amesharudisha hela iliyomsajili... Mjinga kweli wewe, yani ninavyosema recent united transfer zimejikita kwenye soko kuliko sababu za uwanjani hunielewi... Kwa taarifa yako mchezaji bora haitaji msimu zaidi ya mmoja kujidhirisha ubora wake.... Ngolo kante amedhihirisha hilo pale Chelsea.... Ngolo kante anaweza asiwe kafanya vizuri sokoni ila returnings zake uwanjani ( deliverance) kila MTU anaona.... Hicho ndicho nikizungumzacho....

We Jamaa kama hujui sasa kuanzia Leo jua... Tangu united imeingia mkataba na adidas transfer market policies za Manchester utd zimebadilika mno... Deal ya pogba kwa zaidi ya asilimia 80 ilikuwa influenced na adidas kama unabisha sema nikupe sources .... Si kila mchezaji huja kwenye team kWa matakwa ya kocha... Ondoa huo ujinga...

Home
Yeah. Una uhuru wa kuongea matakwa yako pamoja na matusi.

Narudia tena kukwambia, ED hawezi kuleta mchezaji bila matakwa ya kocha. Na kudeliver kwa mchezaji inatokana na sababu nyingi ikiwa partnerships na formation ya timu. Na tatizo la midfield lipo united kwa zaidi ya miaka mitano.
Kuletwa kwa Pogba kumepunguza hilo tatizo.
Membership ya Man Utd sio kazi yako kujua.
 
Nakubaliana na wewe unataka kusema enzi za Kenyon na David Gill waliweza kuvunja record kuipita Madrid !!!!!?? ...

Sir Alex furguson na CE's wake wote Tangu mwaka 1986 transfer zao zote zilijikita kwenye tecnical demand kuliko marketing demand.... Japo Kuna Vipindi alimwaga hela ila hiyo hela ilirudi kwa mafaniko tulioyaona uwanjani....

1. Wayne Rooney alivunja record ya kusajiliwa kwa fedha nyingi akiwa na umri mdogo... Tunaona mafanikio yake uwanjani ... Amecheza fainali tatu za uefa na moja tukabeba ndoo.. Najua unaukumbuka usiku wa Moscow vs Chelsea ....

2. Dimitry Berbertov alisajiliwa kwa hela ndefu akitokea Tottenham .. Nina imani unajua vikombe vingapi ametuwezesha kubeba..

3. Rio Ferdinand alisajiliwa kwa hela ndefu na kuwa beki ghali duniani kwa muda ule.. Hakuna shabiki wa utd anaejua mchango wa huyu MTU pale utd... Kacheza fainali tatu za uefa akipacha na Komeo Nemanja Vidic...

Hii ni mifano michache ya transfer za utd enzi za David Gill zikivyokuwa zimejikita kwenye Technical demands kuliko market demands ambapo wachezaji wanaosajiliwa na CEO wetu mpya wanakuja kuiwezesha Manchester utd kung'aa zaidi sokoni kwa kuuza jezi na bidhaa zingine za timu...

Woodward sioni kama Nafasi ya kuwa CEO inamfaa. Jamaa ni mzuri sana kwenye soko ... Ila coordination yake na kocha kuleta vyombo uwanjani sijaiona..
Mkuu nakubaliana na wewe 100%, umeelezea vizuri sana
 
Sawa nakubali Mimi naishi Tanzania ( sub sahara country)... Sijui wewe mwenzangu mungu kakubaliki unaishi wapi ... Naona badala ya kujikita kwenye kwenye hoja umeanza personal attacks kama kama mwanamke Malaya.. Kuwa kama mwanaume halisi sio maneno ya kipuuzi ....

Unajifanya we ni mdau Mkubwa wa Manchester wakati hata membership huna... Shenzi kabisa.. Bado shabiki uchwara una maneno ya shombo kwa shabiki mwenzio ingekuwa vipi ungekuwa na Membership card ya Manchester si ndio ungetuita vichaa....

Mimi ni shabiki ninaengoa good or bad kuhusu team na huna mandatory duty ya kunizuia kuongea as longer as sivunji taratibu za Jf..... It's my own opinion.. Siwezi kujenga hoja na wewe inaonekana ushabiki umekutawala ...

Hivi umesoma vyema nilichokiandika? Hivi umeelewa vyema hoja niliyoiongelea??? Sitaki niongee ila nakuomba usome kwa Mara ya pili inaonekana wewe una womanic instincts kwenye comments za wanaume .....

Unasema pogba amesharudisha hela iliyomsajili... Mjinga kweli wewe, yani ninavyosema recent united transfer zimejikita kwenye soko kuliko sababu za uwanjani hunielewi... Kwa taarifa yako mchezaji bora haitaji msimu zaidi ya mmoja kujidhirisha ubora wake.... Ngolo kante amedhihirisha hilo pale Chelsea.... Ngolo kante anaweza asiwe kafanya vizuri sokoni ila returnings zake uwanjani ( deliverance) kila MTU anaona.... Hicho ndicho nikizungumzacho....

We Jamaa kama hujui sasa kuanzia Leo jua... Tangu united imeingia mkataba na adidas transfer market policies za Manchester utd zimebadilika mno... Deal ya pogba kwa zaidi ya asilimia 80 ilikuwa influenced na adidas kama unabisha sema nikupe sources .... Si kila mchezaji huja kwenye team kWa matakwa ya kocha... Ondoa huo ujinga...

Home
Safi sana mkuu, kuna watu humu hawataki kusikia mawazo ya wenzao, wao hujifanya wanajua kila kitu, kila mtu mungu kampa kipawa cha kutafakari na kuchambua mambo, sio lazima kila unachofiri wewe na watu wote wafikiri kama unavofikiri wewe, utasikia "ooh hama, mara una kasumba za mashaniki wa arsenal", utadhani yeye ana hati miliki ya kuishabikia na kuizungumzia utd pekee yake, acheni ujinga kila mtu ana mawazo yake huru
 
Yeah. Una uhuru wa kuongea matakwa yako pamoja na matusi.

Narudia tena kukwambia, ED hawezi kuleta mchezaji bila matakwa ya kocha. Na kudeliver kwa mchezaji inatokana na sababu nyingi ikiwa partnerships na formation ya timu. Na tatizo la midfield lipo united kwa zaidi ya miaka mitano.
Kuletwa kwa Pogba kumepunguza hilo tatizo.
Membership ya Man Utd sio kazi yako kujua.
Hakuna sehemu yoyote nimekutukana ila kuna maneno nimeyatumia ku-symbolize baadhi ya tabia zako kutokana na baadhi ya hulka zako za hovyo na kudharau wengine kama zimevyoonekana kwenye replies zako ........

Mimi nipo huku tandale I'm nothing to any united on pitch or off pitch plans ...tunachofanya hapa ni kupeana habari na kuingia kwenye critical duscussions kuhusu team yetu... Na haitawezekana hata siku moja Mawazo yetu either yawe positive or negative tutweza kumfikishia Jose mourinho..... So tuache kudharauriana ... Kuwa negative kuhusu Manchester united haimaanishi huipendi Manchester united ... Na kuwa positive kuhusu Manchester si kweli eti hakuna changamoto ...

Mbona sijawahi kuwasikia mkimwambia Paul scholes ahame timu ya Manchester kwa sababu miaka ya hivi karibuni amekuwa hakwepeshi.. Kwenye kosa anaongea na kwenye jema anongea http://www.dailymail.co.uk/sport/fo...-s-squad-Europa-League-defeat-Fenerbahce.html

Acheni watu watoe maoni yao.. Hamkuwalipia ada ya kuipenda Manchester united... Mwisho wa siku you are none to united ...

,.................
 
Safi sana mkuu, kuna watu humu hawataki kusikia mawazo ya wenzao, wao hujifanya wanajua kila kitu, kila mtu mungu kampa kipawa cha kutafakari na kuchambua mambo, sio lazima kila unachofiri wewe na watu wote wafikiri kama unavofikiri wewe, utasikia "ooh hama, mara una kasumba za mashaniki wa arsenal", utadhani yeye ana hati miliki ya kuishabikia na kuizungumzia utd pekee yake, acheni ujinga kila mtu ana mawazo yake huru
Mkuu hiyo hali IPO kuna watu wanajiona wao ndio mashabiki kindakindaki wa team hii kutoka huko viunga vya great Manchester,English Island ( England)....
 
Hakuna sehemu yoyote nimekutukana ila kuna maneno nimeyatumia ku-symbolize baadhi ya tabia zako kutokana na baadhi ya hulka zako za hovyo na kudharau wengine kama zimevyoonekana kwenye replies zako ........

Mimi nipo huku tandale I'm nothing to any united on pitch or off pitch plans ...tunachofanya hapa ni kupeana habari na kuingia kwenye critical duscussions kuhusu team yetu... Na haitawezekana hata siku moja Mawazo yetu either yawe positive or negative tutweza kumfikishia Jose mourinho..... So tuache kudharauriana ... Kuwa negative kuhusu Manchester united haimaanishi huipendi Manchester united ... Na kuwa positive kuhusu Manchester si kweli eti hakuna changamoto ...

Mbona sijawahi kuwasikia mkimwambia Paul scholes ahame timu ya Manchester kwa sababu miaka ya hivi karibuni amekuwa hakwepeshi.. Kwenye kosa anaongea na kwenye jema anongea Paul Scholes slams Manchester United's players after Europa League defeat at Fenerbahce as defaced team sheet illustrates his frustration | Daily Mail Online

Acheni watu watoe maoni yao.. Hamkuwalipia ada ya kuipenda Manchester united... Mwisho wa siku you are none to united ...

,.................
Ok
 
Hivi hatuwezi kuwa na chama cha mashabiki wa timu yetu na wakaja kulifungua likwa tawi inchini kwetu? Najua inawezekana
 
We usituzingue. Upo Sub Saharan Africa tena Third World Country ambayo hata haifahamiki kwahiyo huna haki ya kujudge uCEO wa Ed wakati waliomchagua wanafanya nae kazi kila kukicha na wanajua uwezo wake.
Kuwa na impact kwenye transfer market ni jambo la muhimu kwa timu kubwa kama Manchester United. Kuvunja rekodi sio lazima iwe Madrid au Bayern.
Technical demand ipi unaiongelea? Toka wakati wa SAF timu ilikuwa na tatizo la midfield, makocha wote waliofuata baada ya SAF bado hilo eneo liliwasumbua.
Morinho amekuja ameanza kuleta uhai kwenye timu kuanzia beki hadi midfield. Tatizo la ushambuliaji limejitokeza msimu huu pamoja na kumleta Zlatan still tatizo lipo na ndo kazi ya kocha kumwambia Ed anamtaka mchezaji yupi kuziba hilo pengo.
Pobga amekuja ndo kwanza amemaliza msimu wa kwanza, unamlinganisha na kina Rio, Rooney, Berbatov waliokaa na kuonesha matokeo baada ya misimu mitatu na kuendelea.
Management, Board na Benchi la Manchester sio wajinga kutoa hela zile kwasababu wanajua uwezo wa Pogba na wamekaa nae msimu mzima.
Sasa inakuaje unaanza kulalamika hakuna Usajili wa Technical? Unadhani Ed anaamka kwenda sokoni bila kupewa list na Morinho?
Manchester United ni club kubwa duniani, hatujazoea kuishi kimasikini. Mambo ya kununua wachezaji kama Arsenal na timu ndogo tumeshaacha nao.
Pesa ipo, mchezaji analeta matokeo, jezi anauza, na TV rights zinaongezeka.
Unakua kama hujui biashara?
Pogba alirudisha hela ndani ya week, sahivi tunakula faida tu na uwanjani anadeliver.
Midfield ya Herera, Pogba imeanza kutulia, tumebaki kuongeza nguvu kidogo kuwe imara zaidi. Ushambuliaji nako kuna tatizo, tunahitaji washambuliaji wawili wa kuziba hiyo nafasi. Beki nako kuna nyufa za Smalling zinatakiwa kuzibwa.
World class strikers wapo wachache sana kwahiyo sitashangaa hata huyo Griezman akauzwa £100M na utanunua tu kwasababu huna option na hakuna timu ya kueleweka ambayo watakuuzia strikers. Ni sawa na mkulima akuuzie ng'ombe anayemletea maziwa kila siku.
Hadi hapo Morinho na Ed wamefanya kazi kubwa.

kasahau kama manchester united tunahangaika fowad wa kuanzisha mashambuliz ya haraka timu inatakiwa icheze formation tofaut huyo rooey alikuwa na spid na ronardo wake sasa wakwap leo pale mawinga wa kupiga pas tatu had golin soko la mpira limebadilika bei mbape ni balaa wa monaco lazima kuwe na top striker mbele wa tatu au wawili na bai zao ni balaa pamoja na kutumia pesa manchester haijawah kupitisha msimu bila kombe anamsema pogba wakat kuna efl na europa tunaendelea.
 
ok kwahyo Mo dahoud ni suala la muda tu kutangazwa officially kuwa mchezaji wa dortmound,

mnakumbuka wale vikongwe kule mabingwa wa historia, loserfool walivotuaminisha kuwa soon or later atakua mchezaji wao?

ninacho jiuliza ni je wameshindwa kutoa hyo poun 10mill ambayo baadae itakuja kupanda na kuwa 14mill? Au mchezaji kawa shit? Au watatudanganya tena kama walivo fanya kwa texeira kwamba klapp kamkataa. HAHAAAAAA

loser will always be a loser
 
Back
Top Bottom