Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Vidic aridhishwa na kiwango cha Bailly

Screenshot_2017-03-31-11-44-03.png
 
Usiseme hivo, kuna watu humu timu inawauma bana, watakudhihaki na kukukashif sasa iv, wao hawataki kuambiwa ukweli, watakuambia uhame timu
Nimekufuatiliaga sana ila wee shabiki wa timu flani, ila muda mwingi upo hapa kujipooza na kujikuta unaongea reality kuhusu MUTD.
 
Nimekufuatiliaga sana ila wee shabiki wa timu flani, ila muda mwingi upo hapa kujipooza na kujikuta unaongea reality kuhusu MUTD.
Umeniona kwenye jukwaa lolote nikiishabikia timu yoyote zaidi ya hii? Tatizo lenu mnadhani ukiwa shabiki wa timu flan huwezi kuiongelea -ve timu yako, huo ndo tunauita ushabiki maandazi. Mimi siko hivo mjomba, ikifanya vizuri naisifia na ikiboronga nasema pia
Utd hii ni pasua kichwa na wala hamna timu ya ushindani pale
 
Confirmed squad for today: De Gea, Romero, Pereira, Valencia, Darmian, Bailly, Rojo, Tuanzebe, Fosu-Mensah, Carrick, Willock, Fellaini, Lingard, AY, Miki, Rooney, Martial, Rashford

mata anaweza akakosa mechi zote za msimu zilizobaki, ndio maana Willock kaitwa kuziba nafasi yake
 
Namuona AY hapo...vipi Mwana FA yupo majeruhi ama??!
 
Back
Top Bottom