Hivi mtu huwezi kuishi mpaka uwe kiongozi wa kisiasa?

Maana hamtupi pumziko na hizi hadithi zenu mara fulani atakuwa rais fulan atakuwa mara voice from within mara voice from abroad

Tuacheni jamani
 
Japani Vijana wanapata ufunuoa wa kufanya inovation kwenye Techinolojia,Wewe ni mjinga sana na mpumbavu sana
 
Teuz ya makonda ilinistua,nilii iuliza aridhi unajambo gan na huyu mtu haikunijibu
 
Mkuu Mlimani health care , najua watu watakubeza lakini mimi nakuunga mkono hoja, angalia wenzio hili tuliliona lini Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze... si wengi wanamjua Makonda vizuri, Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni

P
 
Una uhakika atakuwa hai wakati huo?
 
Kwa hii nchi yetu hakuna la kushindikana.

Ila hichi kichwa n kama JP ana uhafadhari fulani. Labda na umri unachangia
 
Mwaka 2030 Makonda atakuwa anatumikia kifungo kwa makosa ya uhalifu dhidi ya binadamu aliyoyafanya. Nchi hii itakuwa ya hovyo kuwa na Rais aliyetatuliwa marinda
 
Una matokeo yake aliposoma pale ushirika Moshi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…