Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,503
- 57,043
Ukisubiri yadondoke sisi tunakula na CHUMVI.Nitarud maembe yakidondoka
![]()
Ukisubiri yadondoke sisi tunakula na CHUMVI.Nitarud maembe yakidondoka
![]()
MamboNitarud maembe yakidondoka
![]()
Endelea kujifariji wewe.Brother naomba ukae mbali na familia yangu.
Mbona nilikusaidia kuzima taa kwa shemeji yangu aggyjay lakini nimekufichia siri?
Ni nzuri tu T.O.D.Habari zenu ndugu zangu makapuku? Naamini mpo poa na Mungu ametupa fursa ya kuishuhudia cku ya leo.
Sawa sawa kazi muhimu bhana
Watu wamekaa kimya.Wazo zuri sana hili watu wamwage Ideas, Uzoefu wao hapa kupitia hilo mtu utapata cha kujifunza na kama youngblood alivyosema wale wanaishi mkoa mmoja ama mikoa ya karibu wakiona yafaa kuunganisha nguvu ili kutimiza hilo ni vema kabisa..
Sio kweli, aliyekwambia amekudanganya.Pole nasikia ulichapiwa na Youngblood
Mkuu huyu pia ni Me.Mambo.....
Waambie hao maana hawakawii kusema mara ooh... mara sijui imekuaje.Even me shemdarling![]()
![]()
![]()
Msitokwe mapovu ni shemdarling tu
saf, habari yako?Mambo.....
Linamo jamn, kwanini utukimbie hiv!Mjini majukumu eeh
Cc emmyguy
Huyo Aggy alikwambia?Haaa haaa unataka kuchepuka ???? Ndio maaana aggy aliamua mapemaaa
Wacha tuendelee kukuwezesha maadam umetoka kundi hili sifa yako ni yetu pia..Unatuwakilisha vema kabisa shemeji.Asante shemeji.
Mungu ni mwema,naamini mnanipenda sana, yani nikiangalia idadi ya *Likes vs Post* nashangaa....
Alikudanganya huyo kijana.Kwa aggy
Mkuu naamin watafunguka tu...Ila nadhani tunaweza kuwatafuta chamber then tukaweka mambo vizur kabisa mkuu..Watu wamekaa kimya.
Yupo mjini kabisa, sema majukumu yanambana, atakuja tu wala usijali.Kwani Aggy naye kaenda kusalimia wazazi kijijini Kama nahrene
Kweli kabisa.Mkuu naamin watafunguka tu...Ila nadhani tunaweza kuwatafuta chamber then tukaweka mambo vizur kabisa mkuu..
Mie nipo siwezi kukimbia.Brother usikimbie.