EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Wewee... alikudanganya huyo.Aggy
Wewee... alikudanganya huyo.Aggy
mkuu Sumbai umeniuliza swali ambalo cjawahi kufikiria, mengine angalau naweza kujibu maana kwenye hii fani nilishakuwepo kama tempo baada ya kuhitimu kidato cha 6, ila sikuwa mwalimu wa darasa, ukija kwenye scheme of work, logbook, duty book, lesson plan pande hizo naweza!
Youngblood na Sumbai mkuje hapa mjibu hili shtakaWewee... alikudanganya huyo.
Emmyguy kakanushaKwa aggy
Jitahidi ongeza juhudi kabisaAisee.
Tutaona.
Jamaa kanikamata haswa!Hahahaha.
Hii nimeipenda.
Hajui tu.Ha haaa anajihami Linamo ....
Ila nakuamin we simba Nenda pole
Wewe umejuaje kama young blood hajui kupet petSumbai ulijuaje Kama hajui kupetpet?
Msaidie tu.Jamaa kanikamata haswa!
Endeleeni kujifarijiHajui tu.
Mbona unajiamini sana mrembo!Endeleeni kujifariji
Huyu kijana bado sana, anajisumbua bure.Ha Haaaa Haaaa alishindwa Ku caree sasa hivi anavizia deadballs youngblood azime taa
Muulize EMMYGUY analijua hili
Ni ukweli mtupu ulionena binti.Kweli young blood umeishiwa. Mwanamke anataka ufundi
Kwa sababu najua huna ubavu huoMbona unajiamini sana mrembo!
Baada ya kuachwa nahreneWewe umejuaje kama young blood hajui kupet pet
Nafikiri anatamani jinsi ninavyohudumia warembo humu ndani sema tu anaona aibu kuniambia.Wewe umejuaje kama young blood hajui kupet pet
Hao unaowahudumia ndiyo wanalalamika Huduma yako siyo nzuriNafikiri anatamani jinsi ninavyohudumia warembo humu ndani sema tu anaona aibu kuniambia.