Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,498
Ila Dada ndo nshapenda sadaka na fungu la kumiWacha niwaeleweshe maana kwangu naona afadhali wao kidogo kuliko mtumish...
Ila Dada ndo nshapenda sadaka na fungu la kumiWacha niwaeleweshe maana kwangu naona afadhali wao kidogo kuliko mtumish...
Wamezoea kamatia chini tuWatayajulia wapi haya mambo, kama hawajui kupetipeti hayo mambo mengine watayajulia wapi!?
unaguna nini? Na huko Congo nani amekufa?Mmmh...
Mwanaume zipu nje utamjua tuMkuu weka basi tuone kama yakiyomo yamo!
Najua unachokiandika hapa hata nafsi yako inakusuta kabisa.Endelea kuota
Muache tu hata hizo likes zinamtosha kupozea maumivu, si unajua kwamba alishaachwa?![]()
Damu changa acha sifa nenda kanywe chai
Inatosha
![]()
![]()
![]()
![]()
.................
Ikifikia hivyo bora nifeNajua unachokiandika hapa hata nafsi yako inakusuta kabisa.
Utendee haki moyo wako,najua unanipenda sana fanya mpango uwaambie walimwengu vile jinsi nimekudatisha.
Ha haaaaaMie nazeeka hadi figo
labda unazungumzia California ya Tandale... Miye nazungumzia California ya Kigamboni Kibada mkuuCalifornia kwa sasa ni zaidi ya saa 5 mkuu
Au unataka niwaite watoe ushahidi hapa.??Ndo unavyojifariji?
Kwendraaa.... huko.Nilimsaidia shemdarling aggyjay kuzima taa maana brother EMMYGUY alisahau majukumu yake.
Lakini pia niko njiani kumsaidia kuzima taa lizziebettie kama nikiona Th Name hatambui majukumu yake.
Na wengine wote wanaohitaji msaada wangu i'm always available.
Cc.cute b. &damtanzania.
Ha haaa sawa mkuu.mkuu Sumbai umeniuliza swali ambalo cjawahi kufikiria, mengine angalau naweza kujibu maana kwenye hii fani nilishakuwepo kama tempo baada ya kuhitimu kidato cha 6, ila sikuwa mwalimu wa darasa, ukija kwenye scheme of work, logbook, duty book, lesson plan pande hizo naweza!
WaiteAu unataka niwaite watoe ushahidi hapa.??
Hawezi kubaliYoungblood na Sumbai mkuje hapa mjibu hili shtaka
Shempenzi, wanakudanganya tu hao hawaniwezi kitu.Mjini majukumu eeh
Cc emmyguy