Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Morning Nyanda.Goodmorning humu
Youngblood unachepuka sanaBrother naomba ukae mbali na familia yangu.
Mbona nilikusaidia kuzima taa kwa shemeji yangu aggyjay lakini nimekufichia siri?
Niko pouwa mkuu.Mkuu yupo fit ile mbaya yupo bafuni anaosha mwili sasa hivi mda si mrefu utamwon hapa...Wewe upo poa lakin?
Niko poa shemeji, natumai amazing yuko poa kabisa.Pamoja sana Shemeji..Upo poa lakin?
Ni kweli pesa anazo za sadaka na mi sina pingamizi juu ya kile unachokipenda dada angu..Mimi itabidi nimwite shemeji tu huku nimekunja sura..Nasikia ana pesa za sadaka nataka awe shemeji yako maana peter choka kazingua anachepuka Sana sikuhizi hata nyumbani harudi.
Nyani Ngabu ndo anamchukua Jimena?Hujuiii?????? Ni unyan Wa ungabu
Hapana shemeji aliniomba mwenyewe aende kijijini kupumzika kidogo.Unamdanganya nahrene akasalimie wazazi ili uchepuke vizuri
Mmmh napata walakiniHapana shemeji aliniomba mwenyewe aende kijijini kupumzika kidogo.
Msema kweli ni mpenzi wa mungu.Mtake radhi
I love u more babe!Iyou
Pastor yupi tena yule aliachana na mke wake hapa hadharan tena si wakumwamin hata kumwekea wife mkono...
Baby am out, I will be backI love u more babe!
Usimsemehe vibaya shemeji yakoPastor yupi tena yule aliachana na mke wake hapa hadharan tena si wakumwamin hata kumwekea wife mkono...
Morn mkuu.Goodmorning humu