Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Mungu akubariki, akulinde na mabaya yote, akuangazie nuru ya uso wake, abariki kazi za mikono yako2. youngblood
Mungu akubariki, akulinde na mabaya yote, akuangazie nuru ya uso wake, abariki kazi za mikono yako2. youngblood
Mkuu nakukubali sana ila kuutafuta uso wa bwana pekee haitoshi soma mstari huu:“ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao” (2Nyak:7:14)Nautafuta uso wa Bwana..mtafuteni Bwana maadam anapatikani,mwiteni maana yu karibu
Thanx boss kwema humu.Ni nzuri braza, karibu tena kwa j'mosi ingine.
Kuhusu?Hebu jaribu kumuuliza.
Naona kila mtu yupo namba 2 hahahaa.2. youngblood
Naona list imekaliwa na Makapuku.![]()
![]()
![]()
![]()
TOP 20 LIKES JF
..............
Mkuu unakosea, hapa kwa neno ndio kwenye japo neno la kusimamia ni tofauti na hilo..niko zab 51 yoteMkuu nakukubali sana ila kuutafuta uso wa bwana pekee haitoshi soma mstari huu:“ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao” (2Nyak:7:14)
Mkuu nakukubali sana ila kuutafuta uso wa bwana pekee haitoshi soma mstari huu:“ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao” (2Nyak:7:14)
Unaenda wapi tena braza?Wakuu tuanona badaye.
Hapo sawa kabisa Zaburi ile wanaita Ungamo yaani ukimaliza yote kwa kumaanisha unakuwa mpya kabisa..Mkuu unakosea, hapa kwa neno ndio kwenye japo neno la kusimamia ni tofauti na hilo..niko zab 51 yote
Itabidi tufanye hivyo, tena iwe leo tu.Mkuu naamin watafunguka tu...Ila nadhani tunaweza kuwatafuta chamber then tukaweka mambo vizur kabisa mkuu..
Kabisa kabisa mkuu..Itabidi tufanye hivyo, tena iwe leo tu.
Umeona eee, nakushangaa unaleta perepeche..ooh mtumishi cjui nini!Hapo sawa kabisa Zaburi ile wanaita Ungamo yaani ukimaliza yote kwa kumaanisha unakuwa mpya kabisa..
Wanatoa kwa kusua sua sana...Ila zinatoka sana siumeona youngblood kawa kilelen kwa kuwa na likes mingi kushinda member yeyote huku..Ila kweli wengine hawatoi ipasavyo..Makapuku mmekuwa wachoyo wa likes why?
Mtumish mimi nakukubali sana ila sometym unakengeuka kidogo..Umeona eee, nakushangaa unaleta perepeche..ooh mtumishi cjui nini!
Sisi na patience123 tumetulizana hatutaki ndoa za magazeti tunafurahia uumbaji tu
Tatizo lako sjui ni ushamba!Mtumish mimi nakukubali sana ila sometym unakengeuka kidogo..
Hapana Mtumish wewe ukiwa kama mtumish mwenye heshima kubwa na kundi kubwa unalo liongoza haipaswi uwe na utani wa kuwatega haswa hawa dada zetu..Kwan tumeshaambia ni viumbe dhaifu sasa wewe unafanya utani wa kuwatia majaribun..Tatizo lako sjui ni ushamba!
Ukiona nataniana na watu wewe una mind!