Ulijikutaje kwenye madeni na uliwezaje kutoboa?

blessed chiqqah

Senior Member
Joined
May 19, 2024
Posts
135
Reaction score
380
Habari zenu ndugu zangu wana Jf.. kama mada inavyojieleza hapo hebu naombeni mnipe mbinu...mimi si mzuri kwenye kuandika ila natumaini mtanielewa nahisi kuchanganyikiwa nahisi kukata tamaa sijioni nikitoboa nimepanick to the extent Iko hivi, nilikua na rafiki yangu ama shost yangu kindaki ndaki tulikua tupo wote kwenye kikoba fulani. mwaka jana December shost yangu aliomba nimkopee ( yeye tayari kwenye jina lake alikua ana deni ) hivyo nikope mimi kwa jina langu nimpatie then yeye atakua ananipa marejesho.

sikua na haja ya kukataa kweli niilikopa na nikampa atatue mambo yake.Jambo la kusikitisha amefariki kwa ajali. Mpaka sasahivi naona kama ni ndoto, nimechoka na sielewi naanzia wapi kukubali hili jambo naskia huzuni mnoo moyoni mwangu naona kama Mungu ameniacha, naona kama ni mkosi sijui nini nifanye nini hakuna wa kuelewa kwamba nilimkopea mtu 🙌🏾 nimechoka wakuu.
 
sikua na haja ya kukataa kweli niilikopa na nikampa atatue mambo yake.Jambo la kusikitisha amefariki kwa ajali. Mpaka sasahivi naona kama ni ndoto, nimechoka na sielewi naanzia wapi kukubali hili jambo naskia huzuni mnoo moyoni mwangu naona kama Mungu ameniacha, naona kama ni mkosi sijui nini nifanye nini hakuna wa kuelewa kwamba nilimkopea mtu [emoji1487] nimechoka wakuu.
Kwani hukuudhuria msiba wake nakuelexa watu wake wakaribu, kawaida madeni ya marehemu yanalipiwa na ndugu au mali zake alizo acha, kafuata wazazi na ndugu zake uaelezee hayo yote watakuelewa
 
Habari zenu ndugu zangu wana Jf.. kama mada inavyojieleza hapo hebu naombeni mnipe mbinu...mimi si mzuri kwenye kuandika ila natumaini mtanielewa nahisi kuchanganyikiwa nahisi kukata tamaa sijioni nikitoboa nimepanick to the extent Iko hivi, nilikua na rafiki yangu ama shost yangu kindaki ndaki tulikua tupo wote kwenye kikoba fulani. mwaka jana December shost yangu aliomba nimkopee ( yeye tayari kwenye jina lake alikua ana deni ) hivyo nikope mimi kwa jina langu nimpatie then yeye atakua ananipa marejesho.

sikua na haja ya kukataa kweli niilikopa na nikampa atatue mambo yake.Jambo la kusikitisha amefariki kwa ajali. Mpaka sasahivi naona kama ni ndoto, nimechoka na sielewi naanzia wapi kukubali hili jambo naskia huzuni mnoo moyoni mwangu naona kama Mungu ameniacha, naona kama ni mkosi sijui nini nifanye nini hakuna wa kuelewa kwamba nilimkopea mtu 🙌🏾 nimechoka wakuu.
Kama haudaiwi basi utakuwa hauna plan yeyote kwenye maisha.

Kama Aliko Dangote anadaiwa sembuse mimi na wewe?
 
Viatu vyako vikubwa bwana nimevivaa ila vinanipwaya .

Mimi mwenzio nilimkopea mdada benki ili aanzishe biashara awe mke wangu tuzae na watoto ,siku niliyompa mzigo ndiyo siku aliyosafiri kwenda tabora kuolewa na jamaa mlina asali hivyo nikabaki nakatwa kwenye mshahara wangu .

Nililia sana kama wewe ,nilikata tamaa ,kuna muda nilikuwa nakaa na mbwa wangu nyumbani nawauliza walikuwa wapi kunistua kuwa naishi na jini ila nao hawakunijibu zaidi ya kuniangalia tu ,finally nilikubali nikalipa ila uwa nikikumbuka basi yule dada namlaani sana .

Wewe jamaa uliyemuoa huyo dada nasikia unaitwa Luziga ,cheza uchezavyo ukija kujaa kwenye hamsini zangu maji utayaita mma
 
Kwani hukuudhuria msiba wake nakuelexa watu wake wakaribu, kawaida madeni ya marehemu yanalipiwa na ndugu au mali zake alizo acha, kafuata wazazi na ndugu zake uaelezee hayo yote watakuelewa
Umeshauri kwa mawazo mema, lakini kiuhalisia ushauri wako hauwezi kumsaidia kama familia ya marehemu kuna wajuaji.

"Madeni anayodaiwa marehemu" yaliyo halali na yanayoangaliwa kisheria zaidi ni yale yaliyopo kwenye maandishi.

"Madeni ya mdomo" mara nyingi hutupiliwa mbali especcially katika kuangalia mazingira ya sasa yenye matapeli wengi.
 
Viatu vyako vikubwa bwana nimevivaa ila vinanipwaya .

Mimi mwenzio nilimkopea mdada benki ili aanzishe biashara awe mke wangu tuzae na watoto ,siku niliyompa mzigo ndiyo siku aliyosafiri kwenda tabora kuolewa na jamaa mlina asali hivyo nikabaki nakatwa kwenye mshahara wangu .

Nililia sana kama wewe ,nilikata tamaa ,kuna muda nilikuwa nakaa na mbwa wangu nyumbani nawauliza walikuwa wapi kunistua kuwa naishi na jini ila nao hawakunijibu zaidi ya kuniangalia tu ,finally nilikubali nikalipa ila uwa nikikumbuka basi yule dada namlaani sana .

Wewe jamaa uliyemuoa huyo dada nasikia unaitwa Luziga ,cheza uchezavyo ukija kujaa kwenye hamsini zangu maji utayaita mma
Nimecheka Kwa sauti kabsa
 
Kwani hukuudhuria msiba wake nakuelexa watu wake wakaribu, kawaida madeni ya marehemu yanalipiwa na ndugu au mali zake alizo acha, kafuata wazazi na ndugu zake uaelezee hayo yote watakuelewa
Wakati mwingine kwa jinsi mlivyo shibana kumdai rafiki Yako alie fariki let say laki 5 hapana kwa kweriiiii..

NB. WE CARRY LIFE & DEATH.
 
Back
Top Bottom