Shujaa amefanya makubwa sana Anfield, Mungu amjaalie kila la kheri kwenye harakati zake huko aendako.Mshambuliaji wa Liverpool na timu ya taifa ya Misri, Mohamed Salah, amefikia makubaliano na klabu hiyo ya kuondoka mwishoni mwa msimu huu.
Salah ameisaidia Liverpool kutwaa mataji mbalimbali ikiwemo Ligi Kuu Uingereza, UEFA Champions League, Kombe la Dunia la Klabu, UEFA Super Cup na FA Cup. Hadi sasa ameifungia klabu hiyo mabao 255 katika mechi 435, akishika nafasi ya tatu katika orodha ya wafungaji bora wa muda wote wa Liverpool.View attachment 3562630
Tuliaminishwa inasaidia wagonjwa
Salama bwashee sikukuu unailia pande z wap?Kwema mkuu za mda
Sikukuu ipi tena mkuu?Salama bwashee sikukuu unailia pande z wap?
Pasaka si kesho kutwa?Sikukuu ipi tena mkuu?
Duh sikua najua mkuu, hahhaaha halafu ndio miezi yake hiiPasaka si kesho kutwa?
Okay Utanicheki uokote ya pasaka.I missed you poker!
Namba yangu si unayo lakini🫡Okay Utanicheki uokote ya pasaka.
Swaaalama mdau
Ila min [emoji1787][emoji1787] ujue unaishi dunia ya peke yakoSikukuu ipi tena mkuu?
Yeah ni kweli kabisa dunia yangu ipo kwenye fikra zangu😃Ila min [emoji1787][emoji1787] ujue unaishi dunia ya peke yako
Na me naombeni niokoteOkay Utanicheki uokote ya pasaka.
Nakuelewa minYeah ni kweli kabisa dunia yangu ipo kwenye fikra zangu[emoji2]
Unajua uhalisia wa mambo upo kwenye vile tunavyoyatazama mambo na sio kwenye matrix 😃Nakuelewa min