Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,503
- 57,043
Vice versa is true.Nitakuwa nimefanya jambo la maana sana
Vice versa is true.Nitakuwa nimefanya jambo la maana sana
Ndugu huko siko sasa. Najua dhamira yako nini ila hutaweza katika hiloWapi wewe.
Shemeji Lizzie aliniambia wewe ni kama dimpoz.
Ha haa hadi mkuu @ibra87anasubir kutafuniwa???
Ndugu huko siko sasa. Najua dhamira yako nini ila hutaweza katika hilo
sawa brother.Hebu jaribu kumuuliza.Mwandani wangu aggyjay anafuraha na anapenda sana kuwa na mimi at all, sikuelewi kwa ukisemacho wewe kijana.
Hajambo kabisa, yupo anatekeleza majukumu yake baadae atakuja kuungana nami hapa.Salama shemdarling... Wifi hajambo?
Poa Sweetwater nitakumisi sana.Badaeni wapendwa
Thanks bro.
![]()
![]()
![]()
sawa brother.
Nisamehe bure
*____Peace and Love____*
pamoja sana kaka
Jamaa kavurugwa vibaya sana.Hahahaha jamaa kadata. Ulishawahi kuona bondia aliyepigwa ngumi za kichwa akiwa anaweweseka? Sasa ndo youngblood
Ndo maana. Anaropoka sana siku hiziJamaa kavurugwa vibaya sana.
Nambie kijana.Nzuri tuu kijana
Poa brother.![]()
![]()
pamoja sana kaka
Mambo.....Nitarud maembe yakidondoka
![]()