Hahahaha.Mkuu nataka unifundishe jinsi ya kufunga daftari LA mahudhurio ya mwezi.....
Serious unafanyaje vile..... Huku kuvamia fani kwangu kunanitesa
Haaa haaa unataka kuchepuka ???? Ndio maaana aggy aliamua mapemaaaNipo hapa.![]()
Ni kweli kabisa dada na hapa ndiyo naamini ule usemi wa kipenda roho hula nyama mbichi....Hata mimi nimemkubali awe shemeji dada angu..Mchungaji anachunga kondoo zake
Mie hunipati hata ukiungana na mshana jrNgoja kwanza nikuvutie pumzi.
Najua utakuja kuhadithia hapa.
Ndio kama pita chokaEmmyguy hajui kupetpet
Ahsante sana jana nilikuwepo humu ila sijakuona naimani mambo yalikua mengiKaribuuuu nilichanganya jina na rubiii aisee...
Karibuuu mkuu kapuku ni mwendo Wa likes na stories....jokes and so on karibuuuu saana
Rabii90
AggyAlizima kwa nani vilee?
Wanategemea kuunda chama chao cha walio single soon.Young blood si kaachwa na nahrene?? Naye sahivi kabaki msela tu
Bro acha tule sadaka na fungu la kumiNi kweli kabisa dada na hapa ndiyo naamini ule usemi wa kipenda roho hula nyama mbichi....Hata mimi nimemkubali awe shemeji dada angu..
Mbona kama unaogopa!Mie hunipati hata ukiungana na mshana jr
Ngombe hazeek maini lol.....Sumbai warembo hawazeeki?
Sumbai ulijuaje Kama hajui kupetpet?Ndio kama pita choka
Kwa aggyAlizima kwa nani vilee?
Mie nazeeka hadi figoNgombe hazeek maini lol.....
Kaweke makumbusho ya taifa kabisa
Niko hapa usihangaike kwenda mbali, tukumbushie tu.Ngoja na Mimi nitafute mchepuko
Kwani Aggy naye kaenda kusalimia wazazi kijijini Kama nahreneNiko hapa usihangaike kwenda mbali, tukumbushie tu.
Aisee.Kaweke makumbusho ya taifa kabisa