EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Hahahaa...Aggrrr
Hii kitu haikubaliki kabisa,ni ishara ya uzembe uliotukuka.
Hahahaa...Aggrrr
Hii kitu haikubaliki kabisa,ni ishara ya uzembe uliotukuka.
Even me shemdarlingNilikumiss sana hata mimi![]()
![]()
Mchungaji anachunga kondoo zakeHilo ni moja sister lakin amekuwa ni mtu wa kutokutuliza shingo sehemu moja kila anaye mpita lazima amwangalie kwa nyuma na sijui nini huwa anaangalia huko?
Nipo hapa.Miss you too Shem ake![]()
hivi wa ubavu wangu yupo jamani.

Naona shemdarling unataka kuleta WW3Nipo hapa.![]()
Unajidanganya.Mie hawezi nipata maana hajui kupetipeti
Jaribu ujiaminisheUnajidanganya.
Mkuu nataka unifundishe jinsi ya kufunga daftari LA mahudhurio ya mwezi.....Nipo ndugu yangu Sumbai....tatizo ni hii elimu bure na zamu ya kila siku wanayonipangia wakuu nabanwa na kushindwa kushirikiana na nyie ndugu zangu ila nipo
Lol Bro usifate huu ushauri kabisaaaaMkuu
Fanya ufunge ndoa..... Mtafute mshana Jr anaweza kukusaidia
Hata kwenda mbinguni utasahaulika hivi hivi, jiangalie sana.Dogo mbona mie nimesahauliwa hapo😀😀
Ngoja kwanza nikuvutie pumzi.Jaribu ujiaminishe
Mkuu nataka unifundishe jinsi ya kufunga daftari LA mahudhurio ya mwezi.....
Serious unafanyaje vile..... Huku kuvamia fani kwangu kunanitesa
Duuh sasa hili jina litanifunga!Ha haaa ulivyo mrembo hivvyo Huo uzee unatoka wapi????Majukumu shemdarling na uzee unagonga hodi
Punguza longolongoAggrrr
Hii kitu haikubaliki kabisa,ni ishara ya uzembe uliotukuka.
Mkuu afadhali mshana Jr kwa sasa kuliko jambilo lakin nashangaa dada angu tayari kesha mpenda jambilo na mambo yake hayo yote..Mkuu
Fanya ufunge ndoa..... Mtafute mshana Jr anaweza kukusaidia
Nadhani hajui moto wangu.Ahaaaa haaa kwani alimpataje aggyjay
Sumbai warembo hawazeeki?Ha haaa ulivyo mrembo hivvyo Huo uzee unatoka wapi????