sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Mkuu upo,????labda unazungumzia California ya Tandale... Miye nazungumzia California ya Kigamboni Kibada mkuu
Mkuu upo,????labda unazungumzia California ya Tandale... Miye nazungumzia California ya Kigamboni Kibada mkuu
Mkuu hapo usisubiri kupewa unajichukulia unazima taaatupe sisi tunaojua kulea na kugegeda
Youngblood na Sumbai mkuje hapa mjibu hili shtaka
Ni salama kabisa.Uko poa kaka
Na kwako pia kaka.Goodmorning Guyz ni asubuhi ingine mwanana kabisa huku nilipo toka usiku kunanyesha mpaka mida hii..Hali hii ya hewa inaongeza amasa katika kupiga kazi kwa bidii..Niwatakie Asubuhi njema wote..
Ha haa Hiyo Hiyo nafasi watu wanazima taàaaHajaachwa wamepeana nafasi kidogo tu
Ndo ivo
Safi kaka, umeamka salama?Brother vipi?
Asante shemeji.Shemeji hongera sana kwa kuwa namba 1 kwa member mwenye likes nyingi JF nimeipenda sana hiyo..Keep it up na tutaendelea kukupandisha utukufu hadi utukufu..
Tembo wanakunywa maji..... Piga kelele tuu mkuu ha haahahUmemmiss wa nini, kijana jiangalie vizuri nsije nkakutoa mshipa wa ngiri Ohoo....!
Like ya jamaa HAIPATIKANI OVYOOVYO TU.....akikugongea ujue umeongea pointNakumbuka pia kuna siku Maxene mello alinigonga like nilifurahi sana.
Nikajiona mkongwe ghafla
Hahaha.Ndiyo maana nahrene kakuacha si kwa ukunguru huu
Linamo please!!Nasubiria jibu lake na akikubali tu nishtue yaan nikiasi cha kupress Enter nayeye atakuwa live bila chenga...

Weekend iko poa tu kakaNi salama kabisa.
Wikendi vipi braya!?
Umeona Th Name kakimbiaa ......Brother hili swala halihitaji kupanic kabisa,unajua mimi mwenyezi mungu ameniumba na roho nzuri sana hivyo nikiona mashemeji zangu kama aggyjay na Lizzie wanakosa raha lazima niwasaidie tu.
Hii kitu najivunia sana.
Bro mbona tunaharibiana mingo.Linamo nahitaji kukuona japo uso kwa uso
Ahaaah unataka upunguziee hasiraa.....Nataka nikunong'oneze kitu kidogo.