Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hii ishu Kila MTU awe willing. Kingine tupo mikoana tofauti pia ni changamoto
Na hili ndilo tatizo linalowatatiza wengi.
Tulisema ikiwezekana watu wa mkoa mmoja au mikoa ambayo iko karibu wanaweza kufungua hata group la whatsapp ili kuwasiliana na kujuana zaidi.
Ni wazo zuri lakini litakuwa na mapungufu yake maana unaweza kukuta mtu yupo Singida na anajikuta peke yake anayewakilisha Makapuku.

WAZO BINAFSI.
Ningependekeza yawepo mawazo ya watu tofauti tofauti kwa kila mmoja kujaribu kutoa ubunifu wa kitu kipi cha kufanya ili kwa kila atakayeona wazo flani linamfaa atalichukua na kulifanyia kazi kulingana na uwezo wake ama anaweza tafuta watu wengine kutoka huko aliko na wakaungana. Inakuwa ametengeneza kitu kutoka kwenye mawazo ya Makapuku Family, nahisi itasaidia sana.
 
Wazo zuri sana hili watu wamwage Ideas, Uzoefu wao hapa kupitia hilo mtu utapata cha kujifunza na kama youngblood alivyosema wale wanaishi mkoa mmoja ama mikoa ya karibu wakiona yafaa kuunganisha nguvu ili kutimiza hilo ni vema kabisa..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom