Makapuku Forum

Makapuku Forum

Me nishawahi kugongewa LIKE na Maxence Melo na Invisible ...hizi ndo like nzito siku ukizipata inabidi ufanye sherehe
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
.................
Hata mimi ilinitokea, wali-like zaidi ya mara mbili na hiyo ilikuwa nimecomment kichekesho ndo wakagonga likes. Nilirudia mara mbili mbili kuziangalia.
 
Back
Top Bottom