Ozan Goren
Member
- Aug 16, 2017
- 44
- 26
Umeweka msumari wa moto kwenye kidondaRushwa bado, ila pamoja na hayo mazuri bado ameharibu kwenye demokrasia, bunge live, tunataka vyeti vya bashite na shutuma zake za ufisadi na uvamizi zifanyiwe kazi
Umeweka msumari wa moto kwenye kidondaRushwa bado, ila pamoja na hayo mazuri bado ameharibu kwenye demokrasia, bunge live, tunataka vyeti vya bashite na shutuma zake za ufisadi na uvamizi zifanyiwe kazi
Baadhi ya miradi ya barabara anazindua iliyoachwa na mtangulizi wake mfano barabara ya Kondoa-babatiHa ha imebidi nicheke. na kelele zote hizi haya ndio kayafanya. Kukomesha rushwa how , nidhamu makazini unaweza kuniambia how, airport mwanza na Dar pamoja na flyovers ni on going projects alizikuta. Alichofanya yeye ni kununua bombardier used 2 ,kujenga hostels ya wanafunzi na kupanua hicho kipande cha barabara ya moroko.
Nyingine tunasikia kila siku ni mikwara , vitisho na ubabe ,kabaki kusema fanyeni kazi. Tutaona hiyo 2020. Hajaanza hata km 50 ya lami toka aingie ikulu
Rushwa bado no shida mkuu hafanikiwa kwenye hill ni Padua kichwaMaendeleo ya vitu hata jakaya ameyafanya Magufuli cha maana alichofanya ni kukomesha Rushwa na kuleta nidhamu
ndo ilani inatimizwa hivyoKweli mkuu wa nchi kaz kaifanya, ila ajira ndo hatuna
ilikuwa siasa tu ndugu kuomba kura. Lakini pia tukumbuke kuongoza serikali si mchezo kila kitu unaangaliwa wewe tu na unategemea kodi huna pesa mfukoni. ni uvumilivu tu sijui mwaka 2020 ataeleza nini wananchiMilioni 50 kwa kila kijiji vipi??
Ni kweli ni wanasiasa wachache sana unaweza kuwaamini lakini na ni baada ya kutekeleza alichosema. Kwa hali ilivyo sasa hivi wafanyabiashara wapo wamefunga biashara lakini watumishi ambao ni walipa kodi nao mishahara haijapanda toka 2015, Kwa hiyo ni lazima makusanyo ya kodi yashukeilikuwa siasa tu ndugu kuomba kura. Lakini pia tukumbuke kuongoza serikali si mchezo kila kitu unaangaliwa wewe tu na unategemea kodi huna pesa mfukoni. ni uvumilivu tu sijui mwaka 2020 ataeleza nini wananchi
Upanuzi wa JNIA ulianza kipindi cha JK! Au umeandika kuanzia uwaziri?
Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda.
Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu Juu ya Nchi ya Viwanda na Elimu Bure nk.
Unaruhusiwa kugusia miundo mbinu, Afya, Usafiri, Maendeleo ya Majeshi Yetu, Uvuvi,Michezo, Habari, Siasa, Viwanda,Teknolojia, Pato la Taifa nk.
Ila tu iwe kwa tulipotoka na Alipofanikiwa na nini tufanye kumsaidia kujiongeza zaidi.
Mpaka sasa kafanya haya;
Hostel za Chuo cha UDSM.
Hostel za Askari Magereza.
Ununuzi wa Ndege 2 (Nyingine 3 ziko mbioni kuja).
Ujenzi wa Flyover Tazara na Ubungo
Upanuzi wa Airport Mwanza
Upanuzi barabara ya Moroco Dsm
Upanuzi wa Kisasa Airport Dar
Kukomesha Rushwa
Kurejesha nidhamu Makazini.
------------
Na haya ameanza tarehe 12/4/2017;
Uzinduzi ujenzi wa reli kwa ajili ya treni ya Umeme.
Ujenzi wa barabara ya Mtwara-Tandahimba
Kukomesha Watumishi Wenye Feki hivyo kuokoa Mabilioni ya Fedha.
Barabara ya kuunganisha Wilaya za Kibondo kigoma Kaliua huko Tabora.
Miradi Mikubwa ya Maji :
Uwezeshaji Ujenzi Bomba la Mafuta kutoka Hoima mpaka Tanga