Ozan Goren
Member
- Aug 16, 2017
- 44
- 26
Baadhi ya miradi ya barabara anazindua iliyoachwa na mtangulizi wake mfano barabara ya Kondoa-babatiHa ha imebidi nicheke. na kelele zote hizi haya ndio kayafanya. Kukomesha rushwa how , nidhamu makazini unaweza kuniambia how, airport mwanza na Dar pamoja na flyovers ni on going projects alizikuta. Alichofanya yeye ni kununua bombardier used 2 ,kujenga hostels ya wanafunzi na kupanua hicho kipande cha barabara ya moroko.
Nyingine tunasikia kila siku ni mikwara , vitisho na ubabe ,kabaki kusema fanyeni kazi. Tutaona hiyo 2020. Hajaanza hata km 50 ya lami toka aingie ikulu