Just like that
Huyu kaguswa na serikali ya awamu ya 5 chini ya JPM, huduma za afya Tanzania ni classic.

Wewe nawe...achana na viposti hivyo.
Tunatumia mamilioni ya dola kupeleka watu India na A.Kusini kufata matibabu mazuri...US, nchi yenye maabara za kisasa na makampuni makubwa ya madawa watu wake watamani kuja kwetu!!!!!!!!!!!!!!
 
Alienda hapa 👇👇👇 View attachment 1235716
Kwa bahati mbaya sikufahamu kwamba hii mada ipo Jukwaa la Kenya ambalo kwa kawaida I don't feel comfortable to talk shit of my country in a foreign forum... I can't wash my dirty linen in a public! So, kwa mada hii na mada nyingine yoyote sawa na hii ikiwa jukwaa hili, nita-assume mmeshinda in advance!
 
Ongea tu mkuu, weka huyu praise team mahala pake! Hospitali ya Shinyanga hadi leo haijakamilika kujengwa na hilo hataji
 
Ha ha imebidi nicheke. na kelele zote hizi haya ndio kayafanya. Kukomesha rushwa how , nidhamu makazini unaweza kuniambia how, airport mwanza na Dar pamoja na flyovers ni on going projects alizikuta. Alichofanya yeye ni kununua bombardier used 2 ,kujenga hostels ya wanafunzi na kupanua hicho kipande cha barabara ya moroko.
Nyingine tunasikia kila siku ni mikwara , vitisho na ubabe ,kabaki kusema fanyeni kazi. Tutaona hiyo 2020. Hajaanza hata km 50 ya lami toka aingie ikulu
Umeeleza ukweli!
 
Ongea tu mkuu, weka huyu praise team mahala pake! Hospitali ya Shinyanga hadi leo haijakamilika kujengwa na hilo hataji
Hapana Mkuu, hawa akina REDEEMER. huwa napenda niwe nikutana nao kule Jukwaa la Siasa au kwingine, na sio hili jukwaa mlilojaa wapwa zetu kwa sababu najua, for the sake of my country, lazima nitaungana na wao tu na matokeo yake nitakuwa naongea nisichokiamini!!
 
Mbona kwenye majukwaa yenu hawaji? Kazi kutunisha misuli pale "Kenyan News" 😂 ila nakuelewa. Amani iwe nawe Mkuu.
 
Mbona kwenye majukwaa yenu hawaji? Kazi kutunisha misuli pale "Kenyan News" 😂 ila nakuelewa. Amani iwe nawe Mkuu.
Si wanajua ndugu kwa ndugu tunafahamiana weakness zetu... we know where to hit them hard!!
 
Nimepata fursa ya kuzunguka mikoa kadhaa mambo yamebadilika sana,kila nilikopita watu wapo bize kweli kweli vijana kwa wazee

Huko shambani ndio usiseme kila kijiji unapita unakuta makundi kwa makundi wanaotesha mazao. Ile tabia ya watu kukaa Baa saa moja asubuhi kwa kisingizio cha kutoa hangover hakuna tena, hangover inatolewa baada ya kazi

Toka Magufuli aingie madarakani sioni tena vijana wakikaa vijiweni na kucheza bao Muda wa kupambana. Huyu ndio Rais tuliyemlilia sisi Watanzania amebadilisha mtazamo wa Watanzania wengi mno wamekuwa wabunifu

Kabla ya Magufuli vijana waliokuwa wanaenda chuo walikuwa wakipata pesa za mkopo zinaishia kuzitapanya lakini sasa vijana wanaenda chuo wakipata mkopo hutunza pesa ili wajiajiri baada ya kumaliza chuo.Vijana wengi wasomi wamebadilika sana kimtazamo wabahili kweli kweli wanawaza maendeleo Kumbe tulikuwa tunahitaji mtu mwenye uthubutu tu kubadilisha mindset za vijana

Ahsante Magufuli umetubadilisha wengi endelea hivyo hivyo tuwe wachangamfu kwenye fursa kama Wanigeria
 
Mfano juzi hapo nimepita bagamoyo saa kuminamoja alfajiri nilikuwa nina njaa ya sigara siku tano sijavuta, kupita maduka yapo wazi nikaongea na muuza duka ananiambia yeye huwa hafungi duka huwa wababadilishana masaa ya kulala wanauza wawili akaniambia wanaunga mkono juhudi za Magufuli
 
Back
Top Bottom