Ni miaka miwili na miezi kumi tangu ndugu John Joseph Pombe Magufuli aapishwe kuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Ni mengi ya kutafakarisha yametokea tangu Magufuli awe Rais, na kila siku wengi wetu tunajifunza mapya na kukumbuka mengi.

Nasema ni shukrani maana katufungulia na kutufunulia mengi kuhusu Tanzania na zaidi kuhusu sisi kama Taifa na wananchi wake.

Natambua sitaeleweka kama jinsi sikueleweka miaka 10 iliyopita nilipoandika "Thank God for giving us Kikwete" lakini naamini safari hii wenye juhudi na upeo wa ufahamu na uelewa watanielewa.

Tuendelee kutafakari!
 
Ni kweli Magufuli Ana mazuri yake pia Ana mapungufu yake kama binadamu,

Mazuri ya Magufuli
1. Ni mkweli kabisa na haogopi kusema nyeupe ni nikupe nyeusi ni nyeusi
2. Anapiga kazi kwa ufasaha alizotumwa n.a. wananchi
3. hajui siasa ye anafanya kazi tu

Mapungufu yake
1. Hapendi kukosolewa
2. Ana amini katika umasikini
3. Hapendi demokrasia
 
..ni FISADI ameuza nyumba za serekali kwa bei ya kutupa.

..ni MBAGUZI anayebomoa umoja wa waTz.

..ni kiongozi asiyeheshimu sheria na katiba.

..ni mtu asiyetenda haki kwa waTz haswa wale wenye mtizamo tofauti na wake.

..ni kiongozi asiyependa mfumo wa vyama vingi na anatumia kila mbinu kuhakikisha vyama mbadala na ccm vinafutika.

..anatumia madaraka yake vibaya na kinyume na katiba.

..ndani ya utawala wake UMASIKINI wa mtu mmoja mmoja umeongezeka.
 
Rev. Kishoka Mungu anashukuriwa Kwa kila Jambo,hata wapendwa wetu wakirudi kwake (Kufariki) yafaa kumshukuru.
Nakukumbusha tu kuwa Mungu ndiye aliyemleta Shetani na bado tunamshukuru
Vitu vizuri huwa vinaletwa na Mungu....ila vibaya...... Vinajileta vyenyewe.... Na Mungu hazuiii maana shetani huwa anashindana na Mungu ila wakati wote hajawahi kushida...... Mara nyingine hujifananisha na Mungu....take care!
 
Ni kweli Magufuli Ana mazuri yake pia Ana mapungufu yake kama binadamu,

Mazuri ya Magufuli
1. Ni mkweli kabisa na haogopi kusema nyeupe ni nikupe nyeusi ni nyeusi

2. Anapiga kazi kwa ufasaha alizotumwa n.a. wananchi

3. hajui siasa ye anafanya kazi tu

Mapungufu yake
1. Hapendi kukosolewa
2. Ana amini katika umasikini
3. Hapendi demokrasia
Kwa ufupi kwenye mapungufu uliyooanisha hapo juu ni kwamba ana CHEMBECHEMBE ZA UDIKTETA....
 
Natambua sitaeleweka kama jinsi sikueleweka miaka 10 iliyopita nilipoandika "Thank God for giving us Kikwete" lakini naamini safari hii wenye juhudi na upeo wa ufahamu na uelewa watanielewa.
Aaah,kumbe hata ningeingia mimi ungesema hivyo
ila ni jambo jema kushgukuru.
 
Ni miaka miwili na miezi kumi tangu ndugu John Joseph Pombe Magufuli aapishwe kuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Ni mengi ya kutafakarisha yametokea tangu Magufuli awe Rais, na kila siku wengi wetu tunajifunza mapya na kukumbuka mengi.

Nasema ni shukrani maana katufungulia na kutufunulia mengi kuhusu Tanzania na zaidi kuhusu sisi kama Taifa na wananchi wake.

Natambua sitaeleweka kama jinsi sikueleweka miaka 10 iliyopita nilipoandika "Thank God for giving us Kikwete" lakini naamini safari hii wenye juhudi na upeo wa ufahamu na uelewa watanielewa.

Tuendelee kutafakari!
Wakati si milele japo pia wakati ni hakimu wa haki.
 
Ni kweli Magufuli Ana mazuri yake pia Ana mapungufu yake kama binadamu,

Mazuri ya Magufuli
1. Ni mkweli kabisa na haogopi kusema nyeupe ni nikupe nyeusi ni nyeusi

2. Anapiga kazi kwa ufasaha alizotumwa n.a. wananchi

3. hajui siasa ye anafanya kazi tu

Mapungufu yake
1. Hapendi kukosolewa
2. Ana amini katika umasikini
3. Hapendi demokrasia
Uliyoyakubali juu, umeyapinga chini, Yani umejumlisha 3 ukatoa 3, Umebaki na Zero
 
Ni miaka miwili na miezi kumi tangu ndugu John Joseph Pombe Magufuli aapishwe kuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Ni mengi ya kutafakarisha yametokea tangu Magufuli awe Rais, na kila siku wengi wetu tunajifunza mapya na kukumbuka mengi.

Nasema ni shukrani maana katufungulia na kutufunulia mengi kuhusu Tanzania na zaidi kuhusu sisi kama Taifa na wananchi wake.

Natambua sitaeleweka kama jinsi sikueleweka miaka 10 iliyopita nilipoandika "Thank God for giving us Kikwete" lakini naamini safari hii wenye juhudi na upeo wa ufahamu na uelewa watanielewa.

Tuendelee kutafakari!
Kwanza ni Mungu yupi unamtaja? Kama ni Wa mbinguni hafungamani na dhuluma, mauaji, uongo nk. Bora ushukuru kwa ccm kuendelea kubak madarakani kwa msaada Wa vyombo vya dola na NEC na sio kumsingizia baba Wa watu magu
 
..ni FISADI ameuza nyumba za serekali kwa bei ya kutupa.

..ni MBAGUZI anayebomoa umoja wa waTz.

..ni kiongozi asiyeheshimu sheria na katiba.

..ni mtu asiyetenda haki kwa waTz haswa wale wenye mtizamo tofauti na wake.

..ni kiongozi asiyependa mfumo wa vyama vingi na anatumia kila mbinu kuhakikisha vyama mbadala na ccm vinafutika.

..anatumia madaraka yake vibaya na kinyume na katiba.

..ndani ya utawala wake UMASIKINI wa mtu mmoja mmoja umeongezeka.
Ndio maana hawezi kuigusa Wizara ya ujenzi. Ana madhambi yake huko si haba akiwa Waziri.
 
Ni miaka miwili na miezi kumi tangu ndugu John Joseph Pombe Magufuli aapishwe kuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Ni mengi ya kutafakarisha yametokea tangu Magufuli awe Rais, na kila siku wengi wetu tunajifunza mapya na kukumbuka mengi.

Nasema ni shukrani maana katufungulia na kutufunulia mengi kuhusu Tanzania na zaidi kuhusu sisi kama Taifa na wananchi wake.

Natambua sitaeleweka kama jinsi sikueleweka miaka 10 iliyopita nilipoandika "Thank God for giving us Kikwete" lakini naamini safari hii wenye juhudi na upeo wa ufahamu na uelewa watanielewa.

Tuendelee kutafakari!
Mkuu Rev. Kishoka, naunga mkono hoja
Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba! - JamiiForums
P.
 
Vitu vizuri huwa vinaletwa na Mungu....ila vibaya...... Vinajileta vyenyewe.... Na Mungu hazuiii maana shetani huwa anashindana na Mungu ila wakati wote hajawahi kushida...... Mara nyingine hujifananisha na Mungu....take care!
Shetani aliletwa na Nani ?
 
Ni miaka miwili na miezi kumi tangu ndugu John Joseph Pombe Magufuli aapishwe kuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Ni mengi ya kutafakarisha yametokea tangu Magufuli awe Rais, na kila siku wengi wetu tunajifunza mapya na kukumbuka mengi.

Nasema ni shukrani maana katufungulia na kutufunulia mengi kuhusu Tanzania na zaidi kuhusu sisi kama Taifa na wananchi wake.

Natambua sitaeleweka kama jinsi sikueleweka miaka 10 iliyopita nilipoandika "Thank God for giving us Kikwete" lakini naamini safari hii wenye juhudi na upeo wa ufahamu na uelewa watanielewa.

Tuendelee kutafakari!
Mimi nafikiri ishukuliwe ile sauti ya yule mzee aliyekua anatangaza matokeo.

Hakika ilikaa kwenye vichwa vya wana ukawa kwa zaidi ya mwaka
 
"britanicca, post: 28289702, member: 290488"]Ni kweli Maguful
Kuna mashaka na hili. Sikuz zote anasema 'yeye ni Rais wa wote na mandeleo hayana vyama'
Siku nyingine unasikia mkichagua wapinzani hamtapata maendeleo. Sentensi hii imebeba zote mbili za awali, kwanza, kumbe si wa wote na pili maendeleo yana vyama. Ukweli ni upi hapa?
Mapungufu yake. Hapendi kukosolewa. Hapendi demokrasia
self refelction inapatikanaje katika hali hiyo?

Watanzania wanajifunza kila siku kupitia viongozi waliotangulia na waliopo. Hili ni jambo zuri sana litakalowasaidia kufikiri mbele ya safari na si kuchukua kama 'take for granted'
 
Binadamu anapozaliwa tunashukuru, anapoishi tunashukuru na siku akimaliza muda duniani tutashukuru pia.
 
Back
Top Bottom