The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 34,377
- 103,719
Jogoo alikua mzurulaji sana,wacha achinjwe tu.
Depal alienda mbele hatua nne akarudi nyuma hatua saba😂😂😂 hii yote ni kutokutulia na clab bora anakimbilia utopolo kama huuDepal yeye jana kashinda 4 bila leo kafungwa 7 kwa 2,huko aliko anafanya kalukulesheni itakuwa 7 kwa 6 hivyo haimuumi sana, goal dıff ni 1 tu
kama alivyofungwa Sheffield tu
ila nyie wengine sasa
![]()
Mpira kweli hauna adabu. Yaaan 7?Mpira kweli hauna adabu
Yani Lesta na umwamba wake wote wa kumdungua Manure City nyumbani kwake nayeye kaishia kupigwa kipigo cha paka mwizi nyumbani kwake na Westham.![]()


We jamaa unajua kubet kweliHahahaha Leo mambo yanaweza kwenda kombo, Spurs akashinda, AV chama letu tukashinda.
Lakini kwako najua Haina shida maana chama letu jana tumepiga mtu za kutosha.
Hahaha nilivyoona Mane na Allison hawapo nikajua hizi kuku hazitachomoka ..Mane ndo liverpool kwa sasa ..asipokuwepo timu nyingi pinzani zinajiamini..😎😎😎😎We jamaa uliyajuaje haya? Utakua mchawi tu wewe![]()
Kina Arsenal na Chelsea leo wako na popcorn wanacheka tu





Mbona tafrani, Kwani pana nini hapa?
Baada ya kipenga cha mwisho ubao ukasomaje?Hii nayo ni pandemic Kama vile Corona tu.
Virusi vidogo vinaangusha madon.
Lakini kwa Liverpool match inaisha baada ya kipenga cha mwisho.
Umejuaje. Jana nimenunua popcorn ya elfu 12![]()
Tuwape Keppa ?Hivi kwanini tunakaaa bado na huyu Adrian?
Hapana mkuu ni sikukuu ya wanariadha wa mbio fupiHivi Sabasaba ndiyo sikukuu ya Wakulima?
Ebu taja makosa yote ya AdrianI can't believe! Pepoz doing everything to protect Adrian, for what reason?
Jamaa ametuchomesha! Period.
The Achaeminid does not existBabylon shall never rise again
Nyie kwa Chelsea mlitubahatisha tu kwa sababu ya red card hahahahahahahahaHuu ndio muda sahihi wa kuweka gap ubwa la point na Pep.
Tulichana mikeka jana😂😂😂😂😂😂Hahahaha najua Chelsea ipo moyoni ila nahisi Mr wako atakuwa Liverpool hivyo unamsaport kinamna ..lakini piga ua wewe ni Chelsea damu..
Btw leo AstonVilla tuna jambo letu .leo tunachana mikeka ya watu
We jamaa mnoko kinoma, unanikoti unataka kusoma kitu gani?😡😡😡😡😡😡Baada ya kipenga cha mwisho ubao ukasomaje?
Kweeeeli kwelii mambo yalikwenda furesh 😜😜😜😜Tuna uhakika leo AV tunapunguza point ..kama siyo kupata moja basi hupati kabisa.
Golini tuna Martinez mambo yatakwenda fureshi. 😎😎😎
Hahahaha hichi chenu kikundi cha mateja 😂😂😂..bora manyumbu kidgo afadhali ni wahuni tu hawana mbele wala nyuma😜😜😜😜*Hawa manure fc kimeshakuwa kikundi cha wahuni na siyo timu ya wacheza mpira kabisa*