Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,749
- 28,143
Hivi kwanini tunakaaa bado na huyu Adrian?
Naona pundamilia mmejificha mbuganiKama kawaida kuna jamaa hapa anasema hii meza inapinduliwa
Eti Firmino na Keita wana jambo lao
No man, 2nd half villa wll try parking a bus, who knows we can salvage a point huh!
Usilale Dada tunarudishaHuu msimu huu, mambo ni vice versa...
Nimalizie bia yangu nikalale![]()
Sio rahisi ,mnacheza bila kipa holinTunashinda mkuu,tuwemakini tu Kwenye kufunga maana beki zao hazipo vizuri






HahaaaWashashtukia kama Golini kumechomekwa Mgomba sasahivi wanalenga tu kwenye goli.
Washashtukia kama Golini kumechomekwa Mgomba sasahivi wanalenga tu kwenye goli.



.Tunacount from now la 5 hiloNo man, 2nd half villa wll try parking a bus, who knows we can salvage a point huh!
Naona pundamilia mmejificha mbugani
Wakuu vipi Kipa tunamsingizia?
8 golini hamna kipaHapa leo zitafika 6 kama Pundamilia