Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Leo Leeds walivyorudisha goli nimeikumbuka hii post.
Kesho tukishinda tutakuwa tumetangulia kwa 5 points.
Hao jamaa mziki wao hasa subiri wakutane na Manure uone Derby yakufa mtu.
Leo Leeds walivyorudisha goli nimeikumbuka hii post.
Kesho tukishinda tutakuwa tumetangulia kwa 5 points.
Hao jamaa mziki wao hasa subiri wakutane na Manure uone Derby yakufa mtu.
Safari hii sahau msimu wa aina hiyo, hakuna ulozi sasa hivi. Mtapigika nyie mpaka mtashangaa.EPL kwa sasa hakuna gemu nyepesi yaani ni kukomaa kila gemu tupate pointi 3 na tuzidi kujimaarisha ili mpaka tunafike ile miezi yetu ya February nk tuwe tumeshakaa kileleni na utofauti wa 20+ pointi yaani hapo tunakua salama ndugu..
Bring the rejuvenated Villas kesho..
YNWA
Safari hii sahau msimu wa aina hiyo, hakuna ulozi sasa hivi. Mtapigika nyie mpaka mtashangaa.
Mpira una matokeo matatu..Safari hii sahau msimu wa aina hiyo, hakuna ulozi sasa hivi. Mtapigika nyie mpaka mtashangaa.
Mbona haujaweka ahadi leo?Aston Villa japo tumemuuza Samata ila tuna jambo letu leo..
Sisi kama Aston Villa kuna jitu leo tunalikalisha.
#AVnguvumoja![]()
Mkaskazini upo ndugu naona ushindi wa jana unakupeleka resi mno...Aston Villa japo tumemuuza Samata ila tuna jambo letu leo..
Sisi kama Aston Villa kuna jitu leo tunalikalisha.
#AVnguvumoja💪💪💪
Hahaha ahadi za mChugga ni kama za Manara wa Simba enzi hizo eti tukiifunga Barcelona bla bla blaMbona haujaweka ahadi leo?
Hahaha ahadi za mChugga ni kama za Manara wa Simba enzi hizo eti tukiifunga Barcelona bla bla bla
YNWA

vp kwako kuko salama? alafu mechi ya kupoteza sio iv karibuni nibaada ya gap la point 20 iv ndo anza kuombea LIVERPOOL kufungwaAston Villa japo tumemuuza Samata ila tuna jambo letu leo..
Sisi kama Aston Villa kuna jitu leo tunalikalisha.
#AVnguvumoja💪💪💪
Jana nimem'buruza mtu nne huko ..sisi huwa tunapiga nne nne tu na kuendelea.. sasa leo Aston Villa pale villa park hawatotuangusha kabisa.vp kwako kuko salama? alafu mechi ya kupoteza sio iv karibuni nibaada ya gap la point 20 iv ndo anza kuombea LIVERPOOL kufungwa
Ushindi kwetu ni jambo la kawaida mkuu. Leo tuna hakikisha huchomoki pale Villa ParkMkaskazini upo ndugu naona ushindi wa jana unakupeleka resi mno...
YNWA
Kwani lini nmeshawahi kuweka ahadi🤥🤥🤥Mbona haujaweka ahadi leo?
Kwahiyo leo tunapingana? Basi sawa time will tell...Ushindi kwetu ni jambo la kawaida mkuu. Leo tuna hakikisha huchomoki pale Villa Park
Sisi kama AstonVilla tuna jambo letu.
Baadae usisahau kurudi hapa...Kwani lini nmeshawahi kuweka ahadi🤥🤥🤥
Leo AstonVilla tuna jambo letu aiseeeee....
😎😎😎😎😎