Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ollachuga Oc umeona kikosi cha Klopp? Thoe S. Mane hayupo ila leo hakuna mkeka utakaochanika. Jiandae kusikitika tu 😅😅View attachment 1589714
Hapo golini tuna Martinez tuliwapiga Arsenal tumemchukua huyu naimani atachomoa michomo mingi game itaisha mbili kwa moja.
Tuna uhakika leo liverpool achomoki, hapo utajua kuwa ni muhimu kubaki darajani tu😎😎😎😎
 
Half time hiyo hapo mnaenda 0-0 na mkirudi mnapigwa 😅😅
 
Niko Liverpool na sababu zangu na huyo Mr ni man Utd, na leo natamani Totten afungwe tu maana alinitolea Chelsea yangu kwenye ramani ya carabao bado sijapoa 😆

Leo mkeka hauchaniki, utaona.
Hahahaha Leo mambo yanaweza kwenda kombo, Spurs akashinda, AV chama letu tukashinda.😂😂😂
Lakini kwako najua Haina shida maana chama letu jana tumepiga mtu za kutosha.
 
Thiago OUT
Mane OUT
Henderson OUT
Matip OUT
Tsimikas OUT
Chamberlain OUT

Alisson now OUT

Prediction
1-2 Av- Liv ( Gini, Mo salah pen')
YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom