Ppmosile
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 1,232
- 1,890
Siwezi kubisha sana kwa maana hata mechi yenyewe sijaangalia ndo maana nikasema yeye akubali kuwa amefungwa 7 uzembe na mpira ni game la makosaMkuu kama umeangalia mpira liverpool hajazidiwa hata kidogo muda wote liverpool ndio wenye mpira,ball possession Liverpool 69 kwa 31.
Tatizo lilikuwa kwa goli kipa maana kila shuti wakilenga goli ni goli.
Ndio maana jamaa anasema hivyo yaani unafungwa halafu mpira unacheza wewe.
Kuna mechi unafungwa halafu unazidiwa lakini hiyo mechi imekuwa tofauti kumefungwa lakini muda mwingi mpira wanamiliki liverpool,ndio maana mashabiki wa liverpool walikuwa wanaamini watarudisha maana liverpool wanafika goli kwa Aston villa vizuri tu.
mkuu bora karius,