Pep
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,338
- 5,490
Hebu acheni kutuiga basi
Yaaaani sisi tufungwe 4-1 HT na nyie mtugeze mfungwe 4-1 HT???
Jifunzeni ubunifu tafadhali
Asa ole wenu mfungwe sita kama sisi!!



Hebu acheni kutuiga basi
Yaaaani sisi tufungwe 4-1 HT na nyie mtugeze mfungwe 4-1 HT???
Jifunzeni ubunifu tafadhali
Asa ole wenu mfungwe sita kama sisi!!



Na hapo Adrian hakuwepo!Hili tatizo la kufungwa bao nyingi lilionekana tangu msimu uliopita. Kabla ligi ijaanza nikatoa tahadhari.
Kwanza japo mulishinda dhid ya Chelsea lakini ubao ulisomeka
5-3 huh no udhaifu wa kwanza.
Kabla ya hapo Watford alikukalisha 3-1
Msimu umeanza Leeds akamkalisha allison bao 3 japo mulishinda 4.
Series imeendelea hadi sasa zimefika bao 7 per match ..hii ni dalili mbaya kwa club kama liverpool yenye mabeki waliobeba sifa za kutosha msimu uliopita na ni dalili njema kwetu sisi maana sasa tutakuwa na uhakika wa kujipigia bao kwanzia tano kuendelea. Bado tuna Everton, Wolves, 😎😎
Hujui kusoma ndg?!?Katimuliwa na nani?
Mane ndo anabeba hii timu kwa sasa, na ikianza kuporomoka hivi itaporomoka kweli kweli..Liverpool bila Combination ya Mane na Salah fowardi zao zinapoteana.
Mane ni muhimu sana Liverpool
Mkuu tuheshimiane. Daima huwa naweka magoli ya ushindi kwa kila uzi husika sijawahi wawekea magoli mliyofungwa kule arsenal
Am Manchester United fan ila magoli ya jana ya spurs yote yapo uzi wa spurs. Villa hawana uzi serious humu siwezi choma MB zangu kukupa burudani mtu mmoja tu
WEWE NDIO UNAYENIVUNJIA HESHIMA KWĄ KUNIFOKEAa BILA SABABU YA MSINGI.Acha klopp nae ajifunze mbadala wa allison ni Adrian,anakomaa tu na kipa wake wa ajabu ajabu.acha leo aone alivo shati maana hua haamini
Hapo unamlaumu vipi adrian, mmekosa wa kumlaumu? AHata kama ingekuwa Alisson, zile deflections asingeweza kuzizuia, labda angepunguza magoli kutoka 7 kwenda 5 hivi
Uwepo wa Gini kwenye starting lineup constantly ni uhujumu wa timu sababu tu Klopp anampenda sana GiniLeo mtambebesha lawama sana Goli kipa, lakini amini nakuambia hata kama angekuwepo Allison kipigo kingekuwa palepale. Timu inakosa ubunifu brother, tunacheza mpira wa taratibu Sana pasi zisizo na malengo, Wapambanaji wa timu wamebaki wawili tu Mane na Salah, wachezaji kama Wijnaldum na Firmino wapo uwanjani kujaza nafasi tu.Kwa namna hiyo tegemea kila mechi kwetu itakuwa ngumu.
Kwahiyo?Mkuu pamoja na kwamba wamekula 7 hii ndio timu iliyoshinda makombe yote muhimu na makubwa ngazi ya club.
VVD yuko njema tatizo ni hao waingereza wawiliYaaan VVd gomez na TAA watatudharilisha sana msimu huu tufanye maamuz magumu tu TAA kachoka sana na timu zishamjua n njia