Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Man u huko anavunjwa OT
Yaani umeshindwa wewe unawatumaAston Villa? Huko ni kufilisika na kukata tamaa.Ushindi kwetu ni jambo la kawaida mkuu. Leo tuna hakikisha huchomoki pale Villa Park
Sisi kama AstonVilla tuna jambo letu.
Ni saa 21:15 mkuuShabiki mandazi huyo Ollachuga Oc nimemchanganya na arsenane kaingia kingi.
Av vs Liverpool ni 21:45
Liver kama Liverpool tumeshachunguliwa 😅Ni saa 21:15 mkuu
Huyu aondoke zake f*** playerAdrian ni calamity
Kila siku yeye tu.
Hili li Adrian ni uselessSipendi hizi pasi za nyuma. Kipa mwenyewe ni shati
Mkuu hata GOMEZ kwa sasa ni JIPU yaani kawa zaid ya LOVRENHalafu mwisho wa mchezo atatokea Mtu atasema Huyu Kipa katupa Super Cup, Katupa Club World Cup, Alison naye anafungisha! Hivyo anayoyafanya yote anastahiki kuyafanya.