🤣🤣🤣🤣Kipara Mbwa 🐕 kabisa
Hii formation ndiyo Rangnik zee la gegenpress ilisemwa imefanana na chupi..Kenye hii line up ni kipa na Kerkez ndio viazi. Lineup nzuri ila sijui training wamefundishwa nini na kichwa mviringo.
View attachment 3572736
Tena Chupi la Nandy hili mkuu.Hii formation ndiyo Rangnik zee la gegenpress ilisemwa imefanana na chupi..
Leo naona majogoo mnairudia
Huu msimu mbona tutatoka kapa wote.Furaha yenu ni kuifuatilia Arsenal ianguke.
Ukimaliza kulia na kusaga meno njoo jukwaa la Arsenal uchukue lesoHuu msimu mbona tutatoka kapa wote.
Huna uspecial huo mnajipa.
The rest ni banter tu za mpira
Kwan Arsenal mmechukua nini mpaka sasa?Ukimaliza kulia na kusaga meno njoo jukwaa la Arsenal uchukue leso