Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kmk siamini kama.hii ndo Aston villa ..
Hivi huyu Adrian tulimleta vipi?

Wakilenga goli
 
Nimerudi kutafuta hii comment
Kwanza ilinichekesha ila sikupata wazo kwamba inaweza kuwa kweli
Poleni majogoo hakuna namna!!!

Wamefuata ushauri wangu bhana....ubunifu

Kipindi cha pili wametaga zaidi yetu aseee!
 
Ukitoa Salah na Robo .
Hakuna mchezaji mwingine alicheza kitu cha maana kikaoneka wachezaji hawana morali hata kidogo upuuzi .

Firminho ndio kaisha kabisaa hana jipya

Gomez ndo kakumbwa sijui na jini mahaba

Adrian king Ngwaba alituambia ni bora ya Karius ×100 nimeamini leo aise.
 
Villa wanawin every ball. We are useless kila kona ya uwanja.
Wametufanya tunavyofanyaga wakati tukashinda...

Hii ndio njia pekee ya kumfunga Liverpool yaani usiwaogope wapelekee mpira watafanya tu makosa na leo umeona goli 4 zote zimetokana na kujiposition kwa mabeki wetu...

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom