Naipongeza serikali kwa kuchukua hatua mbali mbali kuhakikisha hili gonjwa la COVIDS 19 halisambai, ikiwa ni pamoja na kuwataka wananchi kupunguza misongamano. Lakini hili la mwenge nadhani sasa ni wakati mwafaka kusimamisha mbio hizi kama ilivyofanya miaka miwili iliyopita. Serikali isionee aibu hili.
Mbio za mwenge hukusanya watu wengi, kwenye vyombo vya usafiri, mikesha na sherehe zinazoambatana nazo.
Chonde chonde.
Mbio za mwenge hukusanya watu wengi, kwenye vyombo vya usafiri, mikesha na sherehe zinazoambatana nazo.
Chonde chonde.