#COVID19 Waziri Gwajima: IGP Sirro yupo sahihi, wanaonichonganisha nitawavua nguo hadharani. Asema Corona imesababisha vifo vya kutosha

ngebe

JF-Expert Member
Jun 8, 2020
1,789
5,105
Battle linaendelea, hakijaharibika kitu, Waziri Gwajima amempongeza IGP simon Sirro kwa kufanya kazi kwa utaratibu hivyo nae amesema tayari ameshamwandikia malalamiko yake.

CORONA IMESABABISHA VIFO VYA KUTOSHA

Waziri wa Afya Dkt. Dorothy Gwajima amesema vifo vitokanavyo na corona vipo vya kutosha kamati inaandaa takwimu ili kuzitoa hivi karibuni

Aidha amesema kuhusu suala la mbunge wa Kawe, Askofu Josephati Gwajima amesema wameendelea kufuata hatua ili aweze kuhojiwa

Amesema ajenda hiyo isitumike kisiasa kwa kuwa atawavua nguo hadharani.

==========

Waziri Dorothy Gwajima: IGP yuko sahihi, watu wasijikite tena hapa watengeneze ajenda ya kisiasa, mimi nakataa, ukitengeneza ajenda ambayo inanihusu mimi umejindanganya, mimi nitakuvua nguo mubashara.

IGP yuko sawa kabisa, baada ya mimi kutamka hivyo, yeye akasema sawa ameyasikia kwenye mitandao lakini kama ilivyo kawaida lazima tupeleke maandishi kwasababu mimi si ndio mlalakaji, sasa mwisho wa siku ataanzaje kufanyia kazi sheria ambapo kwenye faili lake hakuna mlalamikaji.

Ni sawa na mimi ni daktari, nimekwambia wewe lazima ufanyiwe upasuaji, nikishasema huyu upasuaji na anenda kupasuliwa, nesi hawezi tu kukuchukua wewe akupandishe kwenye kitanda alafu mimi nianze kukupasua, kuna taratibu hapa, lazima apime presha, damu tujue group namba ngapi, homa, sukari iko ngapi, unapumua kwa rate kiasi gani.

Hayo ni maandalizi tu, kwahiyo watu wasijifiche pale kwamba waziri wa afya amekataliwa na IGP, IGP amesema karibu taratibu zifuatwe na taratibu zimeshafatwa. Shida ni kwamba watanzania fulani kila kitu ni mtaji wa kisiasa, siasa za uwongo njia yake fupi, tutakuwa tunazijibu tu na kuzifafanua.

Mwandishi: Takwimu za vifo!

Dkt. Gwajima: Vifo vipo, zitatolewa ndio wanaandaa kule kamati zitatolewa, vifo vipo vya kutosha tu vitatolewa naomba mtupe muda. Takwimu sisi tunazo.

Swali lingine?

doroth gwajima.jpg

Mwandishi: Mkuu kuna malaalmiko kutoka kwa baadhi ya wananchi kwamba watu wakienda kwenye vituo vya chanjo wanaambiwa waingie kwenye mtandao kwa ajili ya kupata fomu, kuna watu wengine wana simu za vitochi hawawezi kupata

Waziri Gwajima: Swali zuri sana, ni hivii, mwanzo wakati tunaanza tulikuwa na vyeti wanasema manual, unasainishwa cheti. Nikiri kwamba kuna marejesta mengi sana ambayo yanaingiza kumbukumbu zako mpaka unafikia hatua ya kupata cheti, kutokana na muitikio kuwa mkubwa na ucheweleshwaji wa kibinadamu, vile vyeti, document ya mwisho kwenye baadhi ya maeneo imepungua.

Tukasema hata kama imepungua tunamalizia kuleta, zile kumbukumbu zilizoingia kutoka kwenye rejesta namba moja na hilo fomu uliojaza wewe pale ndio itatumika kukutengeneza cheti.

Lakini tukaona hapana, kuna watu wanakwambia mbona mimi nasafiri, cheti hiki ntaendaje kukiona sehemu fulani suppose kikipotea ndio maana tume advance na wataalam wetu wa ndani wakatengeneza mfumo wa elektronik ambao unaweza ukaupata kwenye simu yako.


 
DKT. GWAJIMA: CORONA IMESABABISHA VIFO VYA KUTOSHA

Waziri wa Afya Dkt. Dorothy Gwajima amesema vifo vitokanavyo na corona vipo vya kutosha kamati inaandaa takwimu ili kuzitoa hivi karibuni

Aidha amesema kuhusu suala la mbunge wa Kawe, Askofu Josephati Gwajima amesema wameendelea kufuata hatua ili aweze kuhojiwa

Amesema ajenda hiyo isitumike kisiasa kwa kuwa atawavua nguo hadharani.

 
Dawa yake hapo Askofu Gwajima ampige verse shemeji yake kuomba mchezo maana moja ya maneno yake ni kuhusu yule mrembo, inawezekana maza alitamani km angekuwa ndo yeye anapelekewa moto na Gwaji boy .
Rashidu anakibamia wewe ulikua huoni kwenye ile porn kinapwelepweta tu
 
Jasusi la Mbinguni. Waziri anaahidi kumvua mtu nguo hadharani? Hii ni attack au lugha mbaya!! Basata mko wapi
 
Back
Top Bottom