Kwani hujui kama mwenge ni wa siisiiemuuuu , sasa jichanganye wewe na kibango chako sijui katiba gani sijui mpya uone cha mtemakuni, utapea kesi zote hadi ya kumuua mungu wa chettle , achilia mbali kuwa unaeneza kotrona hata kama uko pekeyako , hii ndio nchi bana akili wanazo wao tu, kila siku wanahubiri social distance na kuacha mikusanyiko lakini wao looooo hayawahusu hizo ni kwa wapiinzaniiii tu
Kwanini wataliban waliichukua nchi ndani ya wiki mbili tu kwenye nchi yenye askari waliofunzwa vizuri kwa miaka 20 na kupewa silaha za kisasa?
 
Mbona Magufuli alizifuta mbio za Mwenge hawa wanashindwa Nini?
Au watu wanapiga pesa ndefu kutokana na mbio hizi?
 
Mbona Magufuli alizifuta mbio za Mwenge hawa wanashindwa Nini?
Au watu wanapiga pesa ndefu kutokana na mbio hizi?
Waziri wa fedha alipaswa kumshauri Rais kukata matumizi kwa muda ya vitu kama mbio za Mwenge na sikukuu wakati huu ambao tunapambana na covid, kusambaza umeme na maji, kujenga bwawa la umeme, reli, barabara na makao makuu badala ya kupandisha mafuta na tozo za miamala. Wananchi hawawezi kuona nia nzuri kwenye mboni za macho ya serikali badala yake watu wanaona viongozi wa serikali wasiojali watu wake wanalimaje, wanauzaje, wanavuaje, kufugaje, wanakulaje, wanajengaje na kusomeshaje.

Takwimu zinatuambia kuwa 90% ya watanzania ni tegemezi, wanawategemea 10% ya watu kwa mahitaji yao. hivyo vurugu zote hizi za serikali za miamala, mafuta, PAYE, VAT, nk zinawalenga hawa 10% ya watanzania. Hawa 10% ili kumudu kuhudumia 90% itawalazimu watafute ujanjaujanja wa mbio za mwenye, sherehe za uhuru na muungano, semina nyingi, kufanya tafiti za kufoji, kusifia viongozi hata kama hawapendi, kukwepa kodi, kuiba vitu au muda wa mwajili wao, kula rushwa na ujambazi, safari za nadani na nje ya nchi. Kila mtumishi na mfanyabiashara ni mwizi wa mali, muda, ama fedha za mwajili au umma.
 
Waziri wa fedha alipaswa kumshauri Rais kukata matumizi kwa muda ya vitu kama mbio za Mwenge na sikukuu wakati huu ambao tunapambana na covid, kusambaza umeme na maji, kujenga bwawa la umeme, reli, barabara na makao makuu badala ya kupandisha mafuta na tozo za miamala. Wananchi hawawezi kuoni nia nzuri kwenye mboni za macho ya serikali badala yake watu wanaona viongozi wa serikali wasiojali watu wake wanalimaje, wanauzaje, wanavuaje, kufugaje, wanakulaje, wanajengaje na kusomeshaje. Takwimu zinatuambia kuwa 90% ya watanzania ni tegemezi, hivyo vurugu zote hizi za miamala, mafuta, PAYE, VAT, nk zinawalenga hawa 10% ya watanzania. Hawa 10% kumudu kuhudumia 90% itawalazimu watafute ujanjaujanja wa mbio za mwenye, sherehe za uhuru na muungano, semina nyingi, kufanya tafiti za kufoji, kusifia viongozi hata kama hawapendi, kukwepa kodi, kuiba vitu au muda wa mwajili wao, kula rushwa na ujambazi. Kila mtumishi na mfanyabiashara ni mwizi wa mali, muda, ama fedha za mwajili au umma.
Ndoo maana teuzi haziishi,JPM teuzi zingine alitia kapuni kuokoa fedha.
 
Back
Top Bottom