Ahahahaaaa . Akili zitakurudi tu. Wakisema watu mnadhani wanamsakama wa nyumbani.Nauliza hili swali sababu kama wananchi tunataka kufahamu ukweli juu ya hili janga. Tunataka waziri wa afya, au msemaji mkuu wa serikali kila siku awe anatoa taarifa zilizo rasmi.
Mbona nchi za wenzetu ambazo zimekumbwa na hili janga kila siku lazima watoe taarifa rasmi kuhusu maambukizi,waliopona na waliofariki.
Au hapa Tanzania ndio kusema mambo yanaenda kimya kimya? Maana watu kila kukicha ni kutishwa tu na habari ambazo sio rasmi.
Mara tunasikia watu wanazikwa usiku, mara tunasikia rubani wa Tanapa alikufa kwa Covid-19,mara kuna maiti imekaa siku mbili mtaa wa Lumumba. Lakini hatusikii serikali ikikanusha wala kuwaambia ukweli wananchi.
Kwa jinsi hili janga lilivyo serious ilipaswa waziri wa afya au msemaji wa serikali angekuwa kila siku anakaa na wanahabari na kutoa takwimu na taarifa rasmi.
Lakini mtu mmoja ambae anamiliki jarida la mtandaoni (Pambazuka) anapoachiwa awe anaandika habari za uongo kuwa watu wanazikwa usiku kimya kimya ni jambo baya maana watu hofu inazidi kwa wananchi.
Inatoka habari kuwa madereva wanne watanzania wamepimwa huko Uganda na kukutwa na ugonjwa wa Covid-19. Hofu inazidi kuwa kubwa kwa wananchi.
Hivyo ili kuondoa hofu lazima mtupatie taarifa rasmi,kama nchi tupo wapi?
Maambukizi ni mengi? Yamepungua? Na wanaopona ni kiasi gani? Hii iwe kila siku na mruhusu kupigwa maswali na waandishi wa habari kama Andrew Cuomo gavana wa New York anavyofanya kila siku. Maana hatulali ni hofu tu.
Jaduong hili ni janga la kitaifa. Na kila hoja ambayo huwa naiweka humu ni kwa manufaa ya taifa letu. Weka siasa kando.Ahahahaaaa . Akili zitakurudi tu. Wakisema watu mnadhani wanamsakama wa nyumbani.
Odhis *
Ulijuliza kikao cha Mzee kuzungumzia Corona walialikwa wabeba bunduki na si wataalamu wa afya ?!.Jaduong hili ni janga la kitaifa. Na kila hoja ambayo huwa naiweka humu ni kwa manufaa ya taifa letu. Weka siasa kando.
Hamia Nchi ambayo unafikiri wanazo hizo daily briefing.
Kuna watu wengi walihudhuria pale, una uhakika wote ni wabeba bunduki?Ulijuliza kikao cha Mzee kuzungumzia Corona walialikwa wabeba bunduki na si wataalamu wa afya ?!.
Think big onghwise .
Odhis *
Mh...Wewe data zinakusaidia nini ? Cha msingi zingatia maelekezo ya wataalamu ujikinge hizo habari za umbea achia wakina carry mastory wa Insta.
Nobody.
Nchi iliyozoea kupika data utaijua tu. Sasa data za korona hazipikiki kirahisi ni lazima watafute wapishi wazuri ndio wazipike na wakisha pika ndio unasomewa.
Ukiona umesomewa watu 50 basi wewe ongeza wengine 40 ili upate data kamili ambayo haija pikwa.
BTW mzee yuko chattle bado?
Hayo ya kwako binafsi, wananchi wanataka official information.Daily briefing inategemea na mood atakayoamka nayo kiongozi kule Chattle. Anaweza akaamka akasema Corona imeisha Tanzania na hakuna wakumuhoji
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi ule muamuko wa kuvaa Barakoa na kunawa mikono umepungua. Hali ya maambukizi imefichwa kiasi watu nao wanachukulia maisha simple tu kama vile hili janga limeshakwisha. Hatari kuu iko mbeleni.
Huku chato mwamko ni mkubwa sana, vijijini kila nyumba ina ndoo ya maji tiririka na sabuni..
Sent using Jamii Forums mobile app
Engine stroke? Au stroke ipi?Ana stroke huyo