Hivi uitwe au uongeze Dr kwenye jina inaongeza au kupunguza nini kwani? Nionavyo mimi, what matters is matendo yako na reality yako katika maswala ya elimu na ufahamu, pamoja na utendaji wako wa kazi. Infact, wengi wenye real academic PhD hata hawapendi kuweka Dr. mbele ya jina lao na hawapendi kuitwa Dr. Maybe with the exception of Tanzania? Huwa either wanaweka PhD baada ya jina lao kwenye email signatures au kwenye other official communications. I see this mostly kwenye wasomi hasa huko western world. Huku makwetu tunapenda sana kuitwa Dr hata kwa wale waliopata degree za online offers, ambapo unalipa dola 100 unatengenezewa cheti. Itakayotofautisha ni matendo yako, ujuzi wa kitaalamu katika utendaji wa kazi zako, pamoja na heshima na uhusiano wako kwa international comm
Namhala Pasi ngoja nikupe hiki kisa😁Wasukuma wako nakawaida ya kuandika majina kwenye baiskeli,kile kipande kinachofunika chain.Sasa kuna Mzee mmoja nikaona ameandika Hayati Masanja Abeli,nikamuuliza Mwenye hii baiskeli alifariki!? Akanijibu hapana Mimi ndiyo Hayati Masanja mwenyewe..Nikamuuliza unaelewa neno Hayati ni mtu Mwenye hadhi Aliyefariki!?akanijibu kijana Hayati tuko wachache mno ,kuna Hayati Nyerere,Hayati karume Hayati sokoine na Mimi Hayati Masanja😁Wanabodi,
Kiukweli kabisa mfumo dume bado ni tatizo kubwa kwa baadhi ya Watanzania wenzetu na haswa wa Kanda yetu fulani!.
Japo Rais Nyerere, Mwinyi na Mkapa, walitunukiwa PhD za heshima za honoris causa lakini hawakuitwa kwa title za Dr. Lakini Rais Jakaya Kikwete baada ya kutunukiwa aliitwa Dr na hakuna aliyepinga wala kupiga kelele, ila baada ya Rais Samia kutunukiwa PhD na kuanza kuitwa Dr, kelele zimeanza,
Anastahili
Hili kweli is not right, PhD za honoris causa, hazibadili title ya mtu kuitwa Dr!. Mwalimu Nyerere alipewa na hakuitwa Dr, Ali Hassan Mwinyi alipewa na hakuitwa Dr. Benjamin Mkapa alipewa na hakuitwa Dr. Jakaya Kikwete alipewa na akaitwa Dr, sasa kama JK aliitwa Dr kwa PhD ya honoria causa, na hatukusema wala kupinga, now Mama kapewa, why sasa ndio tunasema na tunapinga?.
Tuiombe TCU ilifafanue hili, kwa kuzingatia hoja ya Prof. Kironde View attachment 2778748
Usikute sio yeye, au usikute...
ila kwa vile JK aliitwa na hakugoma, why not her?.
Sisi washauri wa bure, tumeikubali hii title ni well befitting her na tumeshauri Baada ya kutunukiwa PhD na kuwa Dkt. mnaonaje jina la "Mama" sasa tukaachana nalo ila Nyumbani wanaweza kuendelea kumuita Mama?
Paskali